• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UBUNGO YAADHIMISHA WIKI YA LISHE KITAIFA KWA ELIMU NA HUDUMA ZA LISHE KWA JAMII

Posted on: November 21st, 2025

Wiki ya Lishe Kitaifa imehitimishwa rasmi  Novemba 21, 2025 katika Wilaya ya Ubungo, hafla iliyofanyika katika Kituo cha Afya Kimara huku ikiambatana na elimu kwa umma, vipimo na ushauri wa kitaalamu kwa wananchi wa wilaya hiyo.

Akizungumza katika kilele cha maadhimisho hayo, Mganga Mkuu wa Manispaa ya Ubungo, Dkt. Aristides Rafael, amesema maadhimisho ya wiki ya lishe yamelenga kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa lishe bora kwa afya ya binadamu na kupunguza magonjwa yasiyoambukiza. 

“Lishe bora ni nguzo ya msingi katika kujenga jamii yenye afya na nguvu kazi imara. Tumejipanga kutoa elimu, vipimo na ushauri ili wananchi wafahamu namna ya kuandaa mlo kamili kwa gharama nafuu,” amesema Dkt. Rafael.

Aidha, Dkt. Rafael amesisitiza kuwa ni muhimu wananchi wakazingatia ulaji wa chakula chenye virutubisho vya kutosha ili kuepuka kutumia dawa kama chakula baadaye, kwani lishe bora ndiyo kinga ya kwanza dhidi ya magonjwa.

Kwa upande wake, Afisa Lishe wa Manispaa ya Ubungo, Bi. Beatrice Joseph Mossile, amesema wiki ya lishe imekuwa jukwaa muhimu kwa wataalamu kufikisha elimu ya lishe kwa makundi mbalimbali hususan watoto, wajawazito, wazee na watu wenye magonjwa sugu. 

“Ni muhimu kwa mama mjamzito kuzingatia lishe bora katika siku 1,000 za mwanzo tangu kutungwa kwa mimba hadi mtoto anapotimiza miaka miwili, kwani matatizo ya lishe katika kipindi hiki huathiri ukuaji wa mtoto na hayawezi kurekebishika kirahisi baadaye,” amesema.

Amewataka kina mama wajawazito kuhakikisha wanapata vyakula vya kutosha kutoka katika makundi yote muhimu ya chakula, akionya kuwa vifo vingi vya uzazi vinasababishwa na upungufu wa damu unaotokana na lishe duni.

Naye Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Kimara, Dkt. Malamla Chaulenzi, amesema kauli mbiu ya mwaka huu inayosema "Afya yako mtaji wako, zingatia unachokula" imekuja kwa wakati muafaka katika kipindi ambacho jamii inakumbwa na mabadiliko ya mtindo wa maisha. 

Baadhi ya wananchi waliopata huduma katika maadhimisho hayo wamepongeza hatua hiyo, wakisema imewasaidia kupata maarifa na kuelewa namna ya kuboresha lishe ndani ya familia zao






Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • UBUNGO YAADHIMISHA WIKI YA LISHE KITAIFA KWA ELIMU NA HUDUMA ZA LISHE KWA JAMII

    November 21, 2025
  • CHUKI NI UGONJWA HATARI UNAOWEZA KUSABABISHA KIFO KWA HARAKA

    November 20, 2025
  • BENKI YA DUNIA YAKAGUA MIRADI YA DMDP UBUNGO

    November 18, 2025
  • MABINTI WAASWA KUJIWEKEA MALENGO NA KUJITUMA ILI KUTIMIZA NDOTO ZAO

    November 15, 2025
  • Tazama zote

Video

UBUNGO YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA | WANAFUNZI WAASWA KUJITUNZA
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa