• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UBUNGO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI DUNIANI

Posted on: August 2nd, 2021

Ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji dunia kwa muda wa siku saba kuanzia Jana august 1 mpaka agust  7 yakiongozwa na kauli mbiu ya "JUKUMU LETU SOTE"  Manispaa ya Ubungo imeadhimisha kwa kupitia kituo Chake Cha  afya Cha Mbezi kwa kuongea na wakina mama wanaonyonyesha juu ya kuzingatia lishe Bora kwa afya ya mtoto

Akiongea wakati wa maadhimisho hayo Afisa lishe Manispaa ya Ubungo Beatrice Mosile amewasisitiza wakina mama kuzingatia lishe Bora ya vyakula na kuzingatia masharti yanayotolewa na wataalam wa afya juu ya utunzaji wa afya ya mtoto na pia mama anayenyonyesha

Aidha alitoa elimu ya lishe anayotakiwa mtoto kuipata ikiwemo kunyonyeshwa  maziwa ya mama kwa kipindi Cha miezi sita bila ya kupewa chakula chochote na atakapofikisha zaidi ya miezi sita na kuendelea mtoto anaweza kupatiwa  mchanganyiko wa vyakula

" Hakikisha mwanao ananyonya mpaka miaka miwili ili awe na afya bora"  alisema Mosile

Kwa mama aliyeathirika na mtoto aliyezaliwa ajapata maambukizwi anashauri kunyonyesha mtoto kwa kipindi Cha mwaka mmoja na kwa aliyepata maambuzi na mtoto akaathirika atanyonyesha kwa muda wa miaka miwili. Aliongeza Mosile

Nae mratibu wa afya jamii Bi.Shubila Bachuba aliwasisitiza kuzingatia maagizo yanayotolewa n idara ya afya kwa Sasa juu ya ugonjwa wa korona kwa kuhakikisha wanafata miongozo ya kujikinga kwa kunawa mikono kwa maji titirika na kuoga wanapokuwa katika mikusanyiko kabla ya kumshika mtoto warudipo majumbani kwa kumlinda mtoto

Sambamba na hayo bi.magret mbena mmoja wa  wamama walioshiriki katika uzinduzi wa maadhimisho hayo  ameshukuru kwa elimu waliyopata na kuahidi kuzingatia lishe Bora kwa afya ya mtoto wake







Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa