• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UBUNGO YAENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU BORA YA HUDUMA ZA AFYA

Posted on: October 29th, 2023

Katika kuhakikisha wananchi wanapata huduma za afya zenye uhakika na kwa wakati Manispaa ya ubungo imejipanga kukamilisha miundombinu  ya ujenzi wa Kituo cha Afya Mbezi, Kimara na Hospitali ya Wilaya ikiwa ni suluhisho la kuondokana na  msongamano katika vituo hivyo hususani huduma ya Baba, mama na Mtoto (huduma za uzazi)

Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg.Elias Ntiruhungwa katika ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo katika Manispaa hiyo na kusema kuwa katika sekta ya afya Manispaa inaendelea kujenga miundombinu bora  kwa ajili ya kuboresha utoaji huduma hasa  za Baba, mama na mtoto.

Akiongea na akina mama 16 waliojifungua oktoba 29,2023 katika wodi ya wazazi kituo cha afya kimara, Ntiruhungwa amewaeleza kuwa Halmashauri inaendelea kuboresha miundombinu ya afya ambapo kwa sasa imetenga fedha kiasi cha shilingi Milioni 80 kwa ajili ya kukamilisha Kituo cha Afya Mbezi ili kupunguza msongamano wa wagonjwa katika kituo hicho. 

Aidha, Ntiruhungwa  amewaeleza wanawake hao kuwa "Tunamashukuru Rais wa awamu ya sita Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha  uboreshaji wa huduma za afya ambapo jana oktoba 28,2023 ametupa gari la wagonjwa kwa ajili ya kuhakiksha wagonjwa wanaopata rufaa wanafikishwa hospitalini  kwa wakati" 

Pamoja na kuwahakikishia upatikanaji wa huduma bora za afya, Ntiruhungwa ametoa zawadi ya kiasi cha shilingi 200,000  kwa wauguzi 2 na akina mama 16 waliojifungua leo katika kituo hicho na kuwahakikishia kuwa upatikanaji wa huduma ni wa uhakika ikiwemo vifaa tiba, dawa na wataalamu wakati wote

Akiongea kwa niaba ya akina mama waliojifungua katika kituo hicho Bi. Rehema Said Kasimu baada ya kupokea zawadi ya fedha shilingi  laki moja kwa niaba ya wenzake kutoka kwa  Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, ameishukuru Serikali kwa huduma nzuri kutoka kwa wataalam, miundombinu mizuri, na upatikanaji wa dawa na vifaa tiba vya kisasa "tunamshukuru sana Rais wetu Mama Samia kweli kazi inaendelea.

Nae Mganga Mfawidhi Kituo cha Afya Kimara Dr. William Chaulenzi amesema kituo cha afya Kimara kwa siku moja wastani wa  akina mama 25 wanajifungua


Wataalam wakiongozwa na Mkurugenzi Ndg. ELIAS NTIRUHUNGWA wakiwa katika ukaguzi wa mradi katika kituo cha afya kimara

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa