• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UBUNGO YAENDESHA MAFUNZO YA MFUMO WA USIMAMIZI WA MIRADI

Posted on: December 8th, 2025

Manispaa ya Ubungo imeendesha mafunzo maalum ya  mfumo mpya wa O na OD kwa  lengo la kuongeza uelewa na kuboresha utekelezaji wa mfumo wa usimamizi na tathmini ya miradi katika maeneo mbalimbali ya utawala.

Mafunzo haya yamejumuisha watendaji kutoka ngazi tofauti za manispaa, wakiwemo maafisa maendeleo ya jamii, maafisa watendaji wa kata, pamoja na  wataalam kutoka idara mbalimbali wa  manispaa.

Katika mafunzo hayo, washiriki wamepata nafasi ya kujifunza kwa kina dhana ya O (Outcome) na OD (Outcome Documented), umuhimu wake katika kupanga na kufuatilia maendeleo, pamoja na namna ya kuweka kumbukumbu sahihi zinazosaidia kupima matokeo ya miradi kwa ufanisi. Akizungumza katika katika mafunzo hayo kaimu mkurugenzi Ndg Walyama Sospeter Tundesa ambae ni mkuu wa idara ya mipango na uratibu amesema " wananchi wanapo shirikishwa katika mipango, uratibu na utendaji katika miradi ya maendeleo  mbalimbali kunawajengea uzalendo na kuthamini miradi hiyo kwani wanaona nguvu na juhudi zilizo tumika katika kutekeleza  miradi hiyo."

Aidha,  mafunzo yamesisitiza kuwa  matumizi sahihi ya mfumo huu yatachangia Kuongeza uwazi katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo, Kuwezesha upimaji wa matokeo kwa njia inayoweza kuthibitishwa, Kuboresha utoaji wa taarifa za maendeleo kwa wakati pamja na Kusaidia viongozi kufanya maamuzi sahihi kulingana na ushirikishwaji kwa ngazi zote.

Kwa ujumla, mafunzo haya  yana manufaa makubwa kwa washiriki, kwani yameongeza uelewa na kuimarisha uwezo wa watendaji katika usimamizi wa taarifa. Manispaa ya Ubungo itaendelea kutoa mafunzo ya aina hii ili kuhakikisha kuwa wadau wote wanaohusika na maendeleo wanakuwa na ujuzi na zana sahihi za kutekeleza majukumu yao.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WATENDAJI TOENI ELIMU KWA WAZAZI KUHUSU SUALA LA LISHE KWA WATOTO" DC MSANDO

    December 19, 2025
  • WATENDAJI TOENI ELIMU KWA WAZAZI KUHUSU SUALA LA LISHE KWA WATOTO" DC MSANDO

    December 19, 2025
  • UBUNGO YAENDESHA MAFUNZO YA MFUMO WA USIMAMIZI WA MIRADI

    December 08, 2025
  • WAZIRI MKUU ALAANI VITENDO VYA UVUNJIFU WA AMANI VILIVYOTOKEA OKTOBA 29, AWASIHI WANANCHI KUILINDA TANZANIA KWA WIVU MKUBWA

    November 24, 2025
  • Tazama zote

Video

UBUNGO YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA | WANAFUNZI WAASWA KUJITUNZA
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa