• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UBUNGO YAFANYA MKUTANO NA WAFANYABIASHARA

Posted on: July 31st, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kheri James amewapongeza wafanyabiashara wa Wilaya ya Ubungo kwa kuwa chanzo cha kuboresha huduma kwa wananchi na kukuza uchumi wao kupitia kodi na tozo wanazolipa kwa Halmashauri.

Pongezi hizo amezitoa kwenye kikao kilichofamyika Julai 31, 2022 kati ya wafanyabiashara  na Serikali  kilicholenga  kujadili  na kutatua  changamoto zinazowakabili wafanyabiashara pamoja na kutoa elimu ya kukuza biashara zao.

Kikao hicho ambacho kinalenga pia kuboresha mahusiano kati ya Serikali na wafanyabiashara ni matokeo ya  Mbunge wa jimbo la Ubungo  Prof. Kitila Mkumbo baada ya kupokea kero kutoka kwa wafanyabiashara hao na kuahidi kujibu hoja zao kupitia kikao cha pamoja.

Prof. Kitila amesema kuwa wafanyabiashara ndio walipa kodi wakubwa kwa Manispaa ya Ubungo na Serikali hivyo ni wajibu wa Serikali kuhakikisha wafanyabiashara wanakuwa na mazingira mazuri ya kufanya biashara ikiwemo kuwapa elimu ya ushuru, tozo ada na kodi mbalimbali za manispaa na faida zake kwa jamii.


"Kazi yangu ni kuwa kiungo kati ya Serikali na wananchi na hili nimelitekeleza kwa kuhakikisha kikao hiki kinafanyika ili kufahamu changamoto na kukubaliana namna bora ya kufanya biashara ikiwemo uwepo wa  uwazi wa sheria zinazozimamia biashara amefafanua prof. Mkumbo


Kwa upande wake Mwenyekiti wa wafanyabiashara Wilaya ya Ubungo ndg. Kelvin Pascali  amemshukuru mbunge kwa kutimiza ahati yake lakini pia serikali kufanikisha kikao hiki mhiumu kinachotupa fursa ya kujadili changamoto, fursa na kupata elimu ya kodi hasa zile zinazotutatiza  

Kelvin amesema utaratibu huu wa kukutana  uwe endelevu ili wafanyabiashara waone fahari kufanyabiashara katika Wilaya hii na hivyo kulipa kodi kwa hiari kama serikali inavyoelekeza.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Beatrice Dominic  amewashukuru wafanyabiashara kwa kushiriki kikao hicho mhimu na kuahidi utoaji wa elimu kwa wafanyabiashara  kufanyika kila kata ili kuondoa changamoto ya ufinyu wa elimu kwa mlipa kodi.






Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa