• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UBUNGO YAINGIA SITE

Posted on: October 13th, 2023

Ikiwa ni maandalizi ya kukabiliana na madhara/maafa yatokanayo na Mvua za El - nino zinazotarajiwa kuanza  kunyesha kuanzia mwezi oktoba mpaka februari mwaka huu, Manispaa ya Ubungo imeanza zoezi la kusafisha mito ili kuruhusu maji kupita kwa urahisi bila kusababisha maafa kwa wananchi walio karibu na mito hiyo

Manispaa ya Ubungo inatekeleza maagizo yaliyotolewa na Mkuu wa Mkoa Albert Chalamila pamoja na Mkuu wa Wilaya Hashim Komba kuhakikisha maeneo hatarishi yote yanazingatiwa kwa kuhakikisha  mvua  hizo zikitokea hazileti maafa kwa wananchi hasa kwa wale wanaoishi karibu na mito

Akielezea tangu kuanza kwa zoezi hilo, Mkuu wa Kitengo cha Maliasili na  Uhifadhi wa Mazingira  Ndg. Nice Vahaye amesema kuwa zoezi la usafishaji wa mito lilianza toka jumamosi ya tarehe 7 oktoba 2023 ambapo mpaka sasa Mto Ng'ombe uliopo Kata ya Ubungo na mto China  uliopo kata ya Makurumla usafishaji wa mito hiyo unaendelea kufanyika


Aliendelea kusema kuwa, lengo ni kuondoa hatari ya kupata madhara ya  mvua katika makazi ya watu na ili kufikia lengo hilo Manispaa ya Ubungo  inashirikiana na Serikali za Mitaa ambapo utoaji wa elimu kuhusiana na utunzaji wa mazingira sambamba na kuwaasa wananchi wanaoishi mabondeni kuondoka kabla ya mvua kuanza unafanyika.

Pamoja na usafishaji wa mito, Vahaye ameeleza kuwa uchimbaji holela wa mchanga kwenye mito imekuwa chanzo kikubwa cha kuharibu mazingira hususani kupanua mito hiyo hali inayopelekea kuharibu makazi na kusababisha mafuriko kipindi cha mvua

"Niwape Rai wananchi wote wa Wilaya ya Ubungo kuacha mara moja uchimbaji wa mchanga holela katika mito kwani ni hatari na kuacha shughuli zote za kijamii ndani ya mito au mita 60 kuanzia kwenye chanzo cha mto" alisisitiza Vahaye

Vahaye aliendelea kusema kuwa, elimu itaendelea kutolewa ya utunzaji wa mazingira na kujikinga dhidi ya majanga hata baada ya zoezi la kusafisha mito kukamilika


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • CRDB WAMKARIBISHA DC MSANDO KWA KUTOA MADAWATI 30 NA VIFAA VYA MICHEZO

    May 22, 2025
  • MAFUNZO KWA WATENDAJI NGAZI YA KATA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    May 14, 2025
  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa