• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UBUNGO YAJIFUNZA JAMBO ARUSHA JIJI

Posted on: December 22nd, 2023

Waheshimiwa Madiwani wa Manispaa ya Ubungo wakiongozana na wataalamu wamefanya ziara ya mafunzo  katika Halmashauri ya Jiji la Arusha iliyolenga  kujifunza namna bora ya utunzaji wa Mazingira na ukusanyaji wa mapato.

Jiji hilo ambalo limefanikiwa katika ukusanyaji wa mapato katika vyanzo mbalimbali, chanzo cha ushuru wa huduma kinachobeba asilimia 35 ya bajeti nzima ya  ya Jiji kinafanya vizuri zaidi huku wakieleza siri ya mafanikio hayo kuwa yametokana na kushirikisha taasisi zingine ikiwemo TRA, TARA na TANROADS katika kukusanya ushuru huo.

Akisoma taarifa ya mapato ya ndani  ya Jiji hilo kwa mwaka wa fedha 2023/2024 Mhasibu msaidizi  ndugu Mohamed Koya amesema kuwa manispaa hiyo imepanga kukusanya jumla ya shilingi bilioni 48.9  kutoka katika vyanzo 32 ikiwemo ushuru wa huduma ambapo kupitia chanzo hicho pekee jumla ya shilingi bilioni 17.5 zinatarajiwa  kukusanywa

Vyanzo vingine vinavyofanya vizuri ni  pamoja na uuzaji wa viwanja, leseni za biashara, ushuru wa mabango ambapo katika kuhakikisha wanakusanya kwa asilimia 100 mikakati mbalimbali ikiwemo ushirikiano kati ya wataalam na waheshimiwa madiwani katika ukusanyaji, usimamiaji na ufuatiliaji wa mapato kuwa ndilo jambo  linalowapa mafanikio makubwa katika ukusanyaji.

Wakiwa kwenya ziara hiyo wanaUbungo wamejifunza juu ya Matumizi ya mifumo rafiki ya TEHAMA  isiyozalisha madeni ambapo baada ya kuoata maelezo ya kina wameamua kutumia wataalamu wa fedha katika Jiji hilo kuwapa mafunzo zaidi ili kutatua changamoto ya wadaiwa sugu na kuchelewa  malipo kwa baadhi ya watoa huduma.

Kwa upande wake kaimu Naibu Meya  Wa Jiji la Arusha Mhe.Isaya Doita amesema kuwa siri kubwa ya mafanikio ya Halmashauri hiyo katika maeneo mbalimbali ni kushirikiano mzuri uliopo kati waheshimiwa  Madiwani na Menejimenti katika kutekekeza  shughuli za maendeleo.

Akitoa shukrani katika ziara hiyo Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ubungo Mhe. Jaffary Juma Nyaigesha amesema, pamoja na kupata uzoefu katika ukusanyaji wa mapato, lakini pia wamejifunza namna ya uendeshaji wa dampo ambalo kwa kiasi kikubwa limesaidia kuweka Jiji hilo safi, "tumejifunza na itatusaidia kuendesha dampo letu ambalo tunatarajia kulijenga ili kuimarisha usafi.















Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa