• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UBUNGO YAJIPANGA KUONGEZA WANACHAMA BIMA YA CHF ILIYOBORESHWA

Posted on: August 21st, 2023

Maafisa uandikishaji wa CHF iliyoboreshwa wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo wamejipanga kuendelea kutoa elimu kwa Wananchi ili kuongeza idadi ya wanufaika wa huduma za afya kutoka asilimia 7.6 ya sasa hadi kufikia asilimia 13 ifikapo Juni 2024.

Hayo yamebainishwa na Mratibu wa mfuko wa Bima hiyo iliyoboreshwa wa Manispaa  ya Ubungo  Bi. Reticia wakati wa kufungua kikao kazi kwa Maafisa uandikishaji wa Manispaa hiyo lengo ikiwa kujadili na kupanga mkakati wa kuhamasisha utoaji elimu kwa  jamii ili kuongeza idadi ya wanachama wa Bima hiyo na kuboresha huduma.

"Nimeona tukutane na tupange mikakati ya pamoja ya namna ya kuhamasisha jamii kujiunga na mfuko wa bima ya CHF iliyoboreshwa kwa kutoa elimu kwa wananchi katika maeneo mbalimbali yenye mikusanyiko ikiwemo Masokoni, Viwandani, Taasisi, Shule na Makampuni".

Aidha, Maafisa uandikishaji pia wamesisitizwa kutumia mikutano na vikao mbalimbali ngazi ya Mitaa na Kata kutoa elimu kwa jamii, utaratibu wa  kujiunga na faida za kutumia bima hiyo ya gharama nafuu sana  kwa wananchi hasa wa kipato cha chini.

Pamoja na kutoa elimu hiyo kwenye mikusanyiko ya watu, Bi. Reticia amesema matumizi ya vyombo vya habari na matangazo ni moja ya njia watakayotumia kuelimisha wananchi wengi zaidi kujiunga na bima hiyo ambayo inamwezesha mwanachama kupata matibabu kuanzia ngazi ya Zahanati hadi Hospitali ya Mkoa popote nchini.

Aidha, amesema hadi kufikia Juni 2023 jumla ya wanachama 40384 wamejiunga na Bima ambapo kati ya hao 6516 wamejinga mwaka huu 2023.

Kuhusu matibabu , Bi. Reticia amesema  hadi kufikia Juni 2023 jumla ya wanachama 12499 walipatiwa huduma za Afya kwenye vituo vya kutolea huduma ambapo jumla ya shilingi 185,330,000 zilikusanywa kutoka kwa wanachama na shilingi 65,374,991 zimerudishwa katika vituo vya kutolea huduma kwa ajili ya kuboresha utoaji huduma za afya vituoni.


Akiongea kwa niaba ya maafisa uandikishaji Bi. Sabina Balilo ameipongeza Manispaa kwa kuweka kikao hicho na kwamba kimeongeza chachu ya kujipanga vizuri kila mmoja kwenye eneo lake ikiwemo kushirikiana na viongozi kuanzia ngazi ya Shina, Wenyeviti wa mitaa na Kata


Mmoja wa maafisa uandikishaji akitoa elimu 














Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa