• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UBUNGO YAKABIDHIWA RASMI MRADI NA KANISA LA YESU KRISTO LA WATAKATIFU WA SIKU ZA MWISHOs

Posted on: January 31st, 2025

Manispaa ya Ubungo yakabidhiwa rasmi mradi wa ujenzi wa Shule ya msingi Kibamba  wenye gharama ya shilingi 470,822,185.12 ambapo katika gharama hizo shilingi  329,532,252.78 imetumika kujenga madarasa 9, ofisi  2 ndogo za walimu  na ofisi 1 kubwa ya walimu,  vyoo vya wanafunzi na kujenga mnara wa matenki ya maji na kiasi Cha shilingi 141,289,932.34 imetumika kuvunja vyumba vya madarasa 3 vya awali na  kujenga upya, Ujenzi huo umegharamiwa na  kanisa la  Yesu Kristo la Watakatifu wa siku za mwisho 

Akipokea mradi huo,  Januari 31, 2025 Mgeni rasmi katika tukio hilo ambaye ni katibu Tawala wa Wilaya ya Ubungo Ndg.Hassan Mkwawa ametoa wito kwa walimu na wanafunzi kwa kuwataka wayatunze na kuyalinda madarasa hayo na miundombinu yote kwa ujumla ili yaweze kutumika na kwa vizazi vijavyo

Das Mkwawa aliendelea kusema kuwa, Ikitokea kuna mapungufu au uharibifu wa aina yoyote marekebisho yafanyike kwa haraka ili kuendelea kudumisha ubora wa majengo hayo ambayo yametolewa kwa lengo la kusaidia wananchi wote hasa wakazi wa Ubungo wanafunzi wameweza kupata mazingira salama ya kusomea

“Niendelee kuwaomba sapoti yenu iendelee Katina kuisadia Serikali kwani jambo hili lina manufaa kwa wananchi wa Ubungo, Ubungo tunajiona wenye bahati miradi hii mingi mmetufadhili” alisema hayo Das Mkwawa

Aidha,  Akikabidhi mradi huo Rais wa kanisa hilo kigangi cha  Dar es salaam, Juventinious Rubona ameshukuru uongozi wa Wilaya ya Ubungo kwa kuwapokea na amesema kuwa kanisa hilo linatambua mchango mkubwa ambao Serikali inafanya na kwa kutambua hilo kanisa nalo imejitoa kuwezesha maendeleo ya Serikali kwa kusaidia Shule hiyo kupata madarasa hayo ambayo yatasaidia kwa wanafunzi kusoma katika mazingira mazuri 

Nae, Kaimu Mkurugenzi Bi. Kissa Mbilla amewashukuru kanisa hilo kwa kufanikisha ujenzi huo na kuwataka walimu kusimamia vyema madarasa hayo yasiharibiwe ili yaweze kutumika vizazi na vizazi

Ikumbukwe kuwa kanisa hilo pia kwa mwaka 2022 lilijenga vyumba vya madarasa matano na matundu ya vyoo 8 ambapo katika hayo 8 ya wavulana na wasichana 8 na vilianza kutumika na kukabidhiwa Novemba 2022















Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa