• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UBUNGO YAONGEZA TABASAMU KWA AKINA MAMA.

Posted on: March 5th, 2024

Kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo huadhimishwa kila tarehe 08 March kwa kila mwaka leo tarehe 05/03/2024 Manispaa ya Ubungo kupitia Idara ya Maendeleo ya Jamii imeongeza furaha kwa akina mama waliokuwa wodi ya wazazi Hospitali ya Sinza Palestina ndani ya Manispaa hiyo kwa kuwapatia zawadi mbalimbali lengo ikiwa ni kuwaongezea tabasamu akina mama hao.

Kwa mwaka huu 2024 Maadhimisho hayo yanaenda sambamba na kaulimbiu isemayo “wekeza kwa mwanamke kwa maendeleo ya Taifa na ustawi wa jamii”

Akiongea wakati wa kukabidhi zawadi hizo kwa akina mama hao Mratibu wa Dawati la Jinsia wa Manispaa hiyo Hilda Malosha amesema Manispaa kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa asasi za kiraia wamepanga kutoa zawadi kwa akina mama hao ikiwemo taulo za watoto na sabuni ili kuwaongezea furaha na kuonesha kuwa pamoja nao.

“Kwa kuthamini nafasi ya mama katika jamii na katika kuelekea siku muhimu ya akina mama tumeona leo tuje kuwaongezea furaha kwa kuwapatia zawadi hizi chache  kwani tunaamini mama akiwa imara jamii pia itaimarika tunawakumbusha leo kuwa walezi wazuri kwa watoto ili kuwa na jamii imara” Alisisitiza Malosha.

Kwa upande wake Mhe. Mary Mwamfupe Diwani wa viti maalumu wa Manispaa hiyo amewataka akina mama hao kuwa walezi bora kwa watoto kwa kuhakikisha wanapata malezi bora.

Akishukuru baada ya kupokea zawadi hizo Paulina Christopher amesema imekuwa ni furaha kwao kupokea zawadi hizo na ameipongeza Manispaa hiyo kwa kuona umuhimu wa kuwaongezea furaha kutokana na zawadi hiyo.

Sambamba na kutoa zawadi kwa akina mama hao Manispaa hiyo ilitoa zawadi ya taulo za kike kwa mabinti wa Shule ya Msingi Mshikamano yakiwemo madawati na kalamu.















Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa