• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UBUNGO YAPANDA MITI 250 KUELEKEA 9 DISEMBA.

Posted on: December 7th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Hassan Bomboko Disemba 7, 2024 amewaongoza Watumishi na wakazi katika Mtaa wa Njeteni Kata ya kwembe  Wilayani humo kupanda miti katika shule maalum ya wasichana ya Mkoa wa Dar es Salaam  kuelekea maadhimisho ya miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara ambayo huadhimishwa kila mwaka tarehe 9 Disemba.

DC Bomboko amesema Wilaya ya Ubungo inatekeleza kwa vitendo maelekezo ya Mhe. Rais ya kutaka maadhimisho haya yafanyike kwa kufanya shughuli za kijamii ambapo Wilaya ya Ubungo imeendelea kufanya usafi wa mazingira,  kupanda miti pamoja na kufanya mazoezi kwa ajili ya kuimarisha ushirikishwaji wa wananchi.

DC Bomboko ameeleza kuwa " kwa siku ya leo tumefanikiwa kupanda miti 250 katika shule hii maalumu ya wasichana ambapo miti 100 ya matunda na miti 150 ya kivuli, rai yangu kwa uongozi wa shule ni kuhakikisha miti hii inatunzwa ili itumike kwa kivuli na matunda"

Akifafanua kauli mbiu ya maadhimisho hayo isemayo Uongozi madhubuti na ushirikishwaji wa wananchi ni msingi wa maendeleo yetu" DC Bomboko amesema kuwa ushirikishwaji wa wananchi ni mkubwa katika nyanja mbalimbali ikiwemo shughuli za kijamii na utekelezaji wa miradi ya maendeleo ambapo Wilaya ya Ubungo imepokea zaidi ya shilingi bilioni 104 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo ambayo wananchi wameshirikishwa

Vilevile usafi umefanyika katika vituo vya kutolea huduma za afya ikiwemo Kituo cha afya Kimara, Makuburi na hospitali ya Sinza palestina, masoko ya manzese, mabibo na simu2000 pia wameadhimisha sherehe za uhuru kwa kuhakikisha mazingira yanakuwa safi

Aidha, Mhe. Bomboko amewaalika wananchi wote wa wilaya hiyo kushiriki katika kuadhimisha  kilele cha sherehe hizo zitakazofanyika katika kituo cha mabasi cha Magufuli tarehe 9 desemba,2024 huku shughuli za upandaji miti, jogging na  burudani mbalimbali zitafanyika

Kwa upande wake Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Maliasili na mazingira Manispaa ya Ubungo Bi. Nice Vahaye amesema kuwa Manispaa ya Ubungo inatekeleza shughuli mbalimbali za mazingira ambapo mpaka sasa zaidi ya miti laki tatu imepandwa katika maeneo ya wazi, taasisi, pembezoni mwa barabara na Mito

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa