• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UBUNGO YAPOKEA MAGARI MAWILI KWA AJILI YA SEKTA YA AFYA

Posted on: February 10th, 2024

Majimbo mawili ya kiuchaguzi ya Manispaa ya Ubungo likiwemo Jimbo la Ubungo na Jimbo la Kibamba ni miongoni mwa majimbo 264 Nchini yaliyopata gari la huduma za dharula ‘ambulance’ pamoja na gari la usimamizi wa vituo vya afya kutoka Serikali kuu kupitia kupitia mpango maalum wa usimamizi wa huduma za dharula za afya kwa kila Jimbo la uchaguzi.

Katika zoezi la mapokezi ya magari hayo  tarehe 10/02/2024 Manispaa ya Ubungo kupitia Hospitali ya Wilaya hiyo imeandaa hafla ya mapokezi hayo ambapo viongozi na wananchi mbalimbali wamehudhuria na kujionea mazuri yanayoendelea kufanywa na Mhe. Rais wa awamu ya sita Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Akiongea wakati wa kukabidhi magari hayo Mhe. Kitila Mkumbo Mbunge wa Jimbo la Ubungo na Waziri wa Nchi ofisi ya Rais mipango na uwekezaji amewataka watoa huduma za afya ndani ya Wilaya hiyo kutoa huduma stahiki na zinazolizisha kwa wananchi kwani Serikali imeendelea kuboresha sekta ya afya Nchini kwa maslahi ya wananchi.

Sambamba na hayo Mhe. Kitila amewataka watoa huduma hao kuhakikisha magari hayo yanatunzwa na kutumika kwa matumizi kusudiwa kwa lengo la kuwezesha utoaji bora wa huduma za afya kwa wananchi.

“Ni wazi kuwa Wilaya ya Ubungo ina vituo vingi vya kutolea huduma za afya hivyo uwepo wa magari haya unaenda kurahisisha utoaji wa huduma za afya hususani huduma za dharula na kupelekea kutatua changamoto mbalimbali za ujauzito na hali za magonjwa ya Watoto ambazo mara nyingi zinapelekea uhitaji wa rufaa na matibabu” aliongeza Mhe. Kitila.

Akishukuru baada ya mapokezi ya magari hayo Ndg. Elias Runeye Ntiruhungwa Mkurugenzi wa Manispaa hiyo amesema anamshukuru Mhe. Rais kwa kuendelea kuboresha Sekta ya afya Nchini kitendo ambacho kinaongeza faraja na matumaini kwa wananchi pindi wanahitaji kupata huduma za afya.

Kwa upande wake Mganga Mkuu wa Wilaya hiyo Dr. Tulitweni Mwinuka amesema Manispaa hiyo inajumla ya vituo 275 vya kutolea huduma za afya huku vituo 24 vikiwa vya Umma na 251 ni vituo binafsi ambavyo vina jumla ya magari 10 ya dharula ya wagonjwa kati ya hayo mawili ni ya Umma na  nane ni magari ya vituo binafsi.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa