• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UBUNGO YAPOKEA TAARIFA YA MGAWANYO WA MALI,MADENI NA WATUMISHI KUTOKA LILIKOKUWA JIJI

Posted on: June 30th, 2021

Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo yapokea Mgawanyo wa watumishi ,Madeni na Mali kutoka katika lililokuwa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam  liliovunjwa na aliyekuwa Rais wa Jamuhuli ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt.John Pombe Magufuli tarehe 24 Feb,2021

Akiwasilisha taarifa hiyo katika baraza maalum  leo tarehe 30 juni, 2021 Mchumi wa Manispaa ya Ubungo Salvius Nkwera aliainisha Mali ambazo Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ime pata kuwa ni watumishi 43 , magari 4, pikipiki 1, mitambo 3 na vingine vingi.

Aidha, Manispaa ya Ubungo katika mgao wa ardhi, majengo na viwanja imepata maeneo matatu ya uwekezaji ambayo ni Asphalt plant and fenced Yard,  stendi ya mabasi Magufuli (Mbezi Luis) na stendi ya zamani ya Ubungo

Pia Manispaa ya Ubungo imepewa  Mashauri 3 Kati ya 21 kutoka Lililokuwa jiji la Dar Es salaam

Katika mgawanyo huo pia  Manispaa ya Ubungo imerithi mikataba ya ujenzi na huduma na kurithi Madeni yenye thamani ya shilingi Bil.9.030

Nae Mstahiki Meya Manispaa ya Ubungo Jaffari Nyaigesha  aliwataka watalaam kuendeleza juhudi hasa katika usimamizi wa miradi na uendeshaji mzuri ili mapato yaweze kuongezeka na kufikia lengo

Pia Mwenyekiti wa chama Wilaya ya Ubungo Ndg.Mgonja aliwaomba watalaam kupitia miradi mikubwa ambayo Ubungo imerithi ikasimamiwe ipasavyo ili mapato yaongezeke

"Niwapongeze kwa kupata Hati Safi kwa miaka Mitatu Mfululizo" alisema Mgonja

Ikumbukwe kuwa  baada ya kuvunjwa kwa lililo kuwa jijIa la Dar es Salaam na aliyekuwa  Rais wa Jamuhuli ya Muungano wa Tanzania  Hayati Dkt.John Pombe Magufuli  aliipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya ilala na kuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam tarehe 24 Feb 2021


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa