• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UBUNGO YAPOKEA VIFAA TIBA KUTOKA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM

Posted on: October 25th, 2021

Manispaa ya Ubungo,  tarehe 25.10.2021 imepokea Vifaa  tiba ( mashuka 100,sanitizer 60  pamoja na  wheelchair 4  (viti maguru ) kutoka Chuo Kikuu Cha Dar es salaam ikiwa  ni maadhimisho ya miaka 60 toka kuanzishwa kwa chuo hiko

Akipokea Vifaa hivyo Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Beatrice Dominic  ameushukuru Uongozi wa chuo kikuu Cha Dar es salaam  kwa jitihada walizoonyesha kwa  mchango mkubwa wa vifaa hivyo ambao utawanufaisha wananchi wa  Wilaya ya Ubungo 

Beatrice, amekipongeza chuo  kwa kufikisha miaka 60 tangu kuanzishwa kwa kwake   na kwa mchango  mkubwa ambao Kituo Cha Afya Cha Kimara kimeupata.

 "Vifaa hivi tuna ahidi kuvitunza na kuhakikisha vina dumu" aliongeza Beatrice 

Aidha  Prof.William Anagise  Makamu Mkuu wa chuo Cha Dar es salaam akisoma taarifa fupi ya tangukuanzishwa kwa chuo hicho  amesema kuwa  chuo kitaendelea kushirikiana na Manispaa ya Ubungo katika kuwaletea  manufaa  wananchi wa Ubungo na Taifa kwa ujumla.

Aliendelea kwa kusema kuwa katika siku hii ya  Maadhimisho ya miaka 60 tangu   chuo Kikuu  Cha Dar es salaam kuanzishwa itaadhimishwa kwa kipindi cha mwaka mzima  kwa kuendelea kutoa huduma kwa jamii na kutoa ushirikiano kwenye masuala mbalimbali ya maendeleo

Kwa upande wake Mganga Mkuu Manispaa ya Ubungo Dkt.Peter Nsanya amepongeza jitihada za chuo kikuu cha Dar Es Salaam kwa ushirikiano walio utoa ikiwa ni njia moja wapo ya kuboresha mahusiano mazuri na kuendelea kutoa huduma  kwa wananchi.

Mfawidhi  wa Kituo Cha Kimara Dickson Masale  ameushukuru Uongozi wa chuo hicho kwa kukichagua kituo hicho kutoa vifaa hivyo  kati ya vituo 22 vya serikali vinavyotoa huduma Manispaa ya Ubungo.

Shukrani zingine amezitoa kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo kwa kuendelea kukilea vyema Kituo hicho na kuendelea kuleta matunda zaidi














ReplyForward






Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • CRDB WAMKARIBISHA DC MSANDO KWA KUTOA MADAWATI 30 NA VIFAA VYA MICHEZO

    May 22, 2025
  • MAFUNZO KWA WATENDAJI NGAZI YA KATA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    May 14, 2025
  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa