• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UBUNGO YAPONGEZWA KWA USIMAMIZI MZURI WA UJENZI WA SHULE MAALUM YA WASICHANA YA MKOA WA DAR ES SALAAM.

Posted on: September 10th, 2024

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu,Tamaduni na Michezo mapema tarehe 10/9/2024  imetembelea Shule Maalum ya Wasichana ya Mkoa wa Dar es Salaam na kuipongeza Manispaa ya Ubungo kwa kusimamia vizuri ujenzi wa shule hiyo iliyojengwa katika kata ya kwembe mtaa wa Njeteni inayogharimu kiasi cha shilingi bilioni 5,816,504,136.00  na ina jumla ya wanafunzi 499 kuanzia kidato cha 1 mpaka kidato cha VI ambao mpaka sasa  wanaendelea na masomo shuleni hapo

Wakiwa shuleni hapo Wajumbe wa kamati hiyo wamempongeza Mkurugenzi na Baraza la madiwani kwa kuhakikisha imesimamia mradi huo kuwa bora na kuzingatia mazingira safi na salama kwaajili ya wanafunzi ikiwemo ujenzi wa uzio unaosadia ulinzi kwa wanafunzi katika shule hiyo

Aidha, Mjumbe wa kamati hiyo ambaye pia ni Naibu Waziri wa Elimu, sayansi na Teknolojia  Mhe. Omari Kipanga amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwezesha fedha hizo ambazo zimeenda kuleta manufaa makubwa kwa Taifa na Ubungo imeenda kujivunia uwepo wa shule ya mkoa ya wasichana iliyojengwa kutokana na fedha za Sequip.

Nae, Makamu mwenyekiti wa kamati hiyo Musa Sima amempongeza Mkurugenzi kwa kutoa kiasi cha shilingi bilioni 1,365,504,136.00 kutoka katika mapato ya ndani kwaajili ya umaliziaji wa miundombinu mbalimbali katika shule hiyo

Akisoma taarifa ya mradi huo wa shule ya wasichana Mkoa wa Dar es salaam Mkuu wa Idara ya elimu Sekondari Ndg.Vosta Mgina amesema kuwa shule hiyo imejengwa kwa gharama ya shilingi bilioni 5,816,504,136 ambayo ujenzi wake ulianza mnamo tarehe 8 julai, 2022 na ujenzi wa awamu ya kwanza ulipokamilika na kuanza kutumika rasmi mwezi 8 mwaka 2023 na kueleza kuwa usajili wa shule hiyo tayari umekamilika.

Vosta, aliendelea kueleza kuwa Shule hiyo inaanzia kidato cha kwanza mpaka kidato cha sita na ina jumla ya wanafunzi  499  ambapo kati yao kidato cha I ni 176 na kidato cha tano wanafunzi 191 na kidato cha sita ni 133 ambao wapo kwa sasa na inatarajia kupokea wanafunzi wapatao 1000 kila mwaka baada ya ujenzi wa miundombinu yote kukamilika

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa