• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mipango miji na Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Utumishi na Utawala
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Maji na Usafishaji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Mazingira na udhibiti wa taka ngumu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
        • Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UBUNGO YATOA ELIMU YA UNYONYESHAJI KWA KINA MAMA

Posted on: August 3rd, 2022


Ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji Duniani iliyoanza tarehe Agosti 1, 2022 na itamalizika tarehe agosti 7, 2022 Manispaa ya Ubungo imetembelea kituo Cha afya Kimara ambapo Wakina mama mbalimbali waliokuja kupata huduma( clinik)  wamepewa elimu kuhusu lishe ya mtoto na umuhimu wa mtoto kunyonya maziwa ya mama  yanayomwezesha kukua vyema kiafya

Maadhimisho hayo yameenda sambamba na Kauli mbiu ya CHUKUA HATUA ENDELEZA UNYONYESHAJI; ELIMISHA NA TOA MSAADA

Akitoa elimu kwa wamama hao Bi. Jane Mbwilo Afisa lishe katika kituo Cha afya Kimara alisisitiza juu ya  Faida mbalimbali zinazopatikana endapo mama atanyonyesha mtoto vizuri bila ya kumpa maziwa mengine ikiwemo kuweka ukaribu wa mama na mtoto na kuongeza upendo na Afya ya akili ya mtoto 

Aliendelea kwa kusema kuwa, mama pia anapata  Faida kwa kuwa ni moja ya njia ya uzazi wa mpango na inapunguza uwezekano wa kupata Kansa ya kizazi

"Tunasisitiza Maziwa ya mama ni Kinga ya magonjwa mbalimbali kwa mtoto ni vyema akanyonya muda wote" alisisitiza Jane 

Nae, Afisa lishe Manispaa ya Ubungo Beatrice Mossile amesisitiza unyonyeshaji wa mtoto kwani itapunguza vifo vya watoto kwa asilimia kubwa

"kiafya ni muhimu hata Kama mama amepata mimba nyingine akiwa ananyonyesha anatakiwa kuendelea kunyonyesha  mpaka mimba ya mtoto mwingine itakapofikia  miezi Saba" alisema hayo Mossile 


Haina madhara  na pia sababu ya kuacha mimba ikiwa na miezi Saba ni kwaajili ya kumwandalia mtoto ajae apate maziwa ya awali yanayotoka kwa mama yenye virutubisho"












Taarifa

  • HUDUMA YA KUKODI GARI LA MAJI TAKA June 12, 2019
  • TAARIFA KWA UMMA August 12, 2019
  • TAARIFA KWA UMMA April 26, 2021
  • TANGAZO KWA WAMACHINGA WOTE November 20, 2021
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • UBUNGO YATOA ELIMU YA UNYONYESHAJI KWA KINA MAMA

    August 03, 2022
  • WAFANYABIASHA WAKUBALI KUANZA KULIPA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA

    August 03, 2022
  • UBUNGO YAFANYA MKUTANO NA WAFANYABIASHARA

    July 31, 2022
  • MSTAHIKI MEYA AKUTANA NA VIONGOZI WA SHIUMA UBUNGO

    July 25, 2022
  • Tazama zote

Video

HAKUNA MGOMO WA MABASI MAGUFULI
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa