• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UBUNGO YAUPIGA MWINGI,ARDHI CLINIK HATI 426 TAYARI

Posted on: November 21st, 2023

Ikiwa ni wiki moja toka zoezi la ardhi clinic kuzinduliwa Manispaa ya Ubungo  Imefanikiwa kutoa jumla ya hati 426 na migogoro ya ardhi 289 imetatuliwa katika zoezi hilo linaloendelea kufanyika katika Viwanja vya Kimara  Stopover.Zoezi hilo ni la siku 25 lilizinduliwa tarehe 13/11/2023 na zoezi hilo  litaendelea katika viwanja  hivyo vya Kimara Stopover mpaka tarehe 7/12/2023 siku ya mwisho.

Akizungumza katika zoezi hilo Ndg. Laurent Mswani Mratibu wa zoezi la Urasimishaji Mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa, zoezi la  ardhi clinik litahusisha utoaji wa hati papo kwa papo pamoja na utatuzi wa migogoro ya ardhi ya maeneo mbalimbali iliyopo ndani ya Wilaya  ya Ubungo na pia zoezi hili litafanyika kwa kila Wilaya ambapo kwa Mkoa wa Dar es Salaam zoezi hilo linafanyika Halmshauri zote tano ambapo Kigamboni na Temeke tayari zoezi limeshafanyika  na sasa zoezi hili lipo Wilaya ya Ubungo.

Mswani Aliendelea kueleza kuwa,Lengo ni kuhakikisha wananchi wanapata urahisi wa kupata hati na sio hati tu na  kupata punguzo la asilimia 50 huku akiwa na umiliki wa halali wa ardhi anayoimiliki.

"Huduma hii kwa sasa imesogezwa kwa  wananchi wa Ubungo lengo ni  kuepusha safari za kwenda mpaka Ofisi za halmashauri kufatilia kila siku hivyo Serikali ikaona ni bora  wananchi wasogezewe huduma na Ubungo tupo hapa Stopover kwa siku 25" alisisitiza Mswani

Mswani aliendelea kusema kuwa,Toka uzinduzi wa zoezi hili wananchi wa Ubungo wamejitokeza kwa wingi na watalaam wanaohusika na zoezi zima wapo hapa kuhakikisha mwananchi wanapata huduma iliyo bora na kwa muda mfupi anakabidhiwa hati yake.

Nae ndg. Amani Mtui Mkazi wa Mbezi ameishukuru Manispaa ya Ubungo kwa kusogeza  huduma hiyo karibu pamoja na kuwashukuru watoa huduma waliopo katika zoezi hilo na pia ameeleza kuwa zoezi la utoaji wa hati papo kwa papo limesaidia kuokoa muda tofauti na awali ufuatiliaji ungechukua muda mrefu mpaka kukabidhiwa hati hiyo

"Nimefurahi sana, nimefika hapa asubuhi na kufanikiwa kupata hati yangu, hapo awali haikuwa rahisi hivi huduma hii imeokoa mda na imekuwa ni rahisi" alieleza hayo Mtui.













Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa