• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UBUNGO YAWASHA MOTO MIRADI YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 306,986,622,909.99 YAPITISHWA MWENGE WA UHURU 2024

Posted on: May 12th, 2024

Ubungo yaupiga mwingi Mbio za mwenge wa uhuru 2024, mwenge umekimbizwa  Km 61 kukagua, kuweka jiwe la msingi na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo

Kauli mbiu ya mwenge wa uhuru 2024 inasema "Tunza mazingira, Shiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa taifa endelevu" na mwenge umeendelea kutoa elimu kwa jamii kuhusiana na utunzaji wa mazingira na kusisitiza ushiriki kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa pia ujumbe wa kudumu wa mbio za mwenge katika mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI, malaria, dawa za kulevya na Rushwa

Aidha, mwenge wa uhuru umetembelea miradi mitano ambayo ni mradi wa vizimba ( kihifadhia taka katika Stendi ya Mabasi Magufuli, Mradi wa kikundi cha vijana Uricane kilichopata mkopo kupitia mikopo ya asilimia 10% (4 ya vijana), watoto wenye mahitaji maalum katika Shule ya Msingi Kibamba B, pampu ya kusukuma maji iliyopo Luguruni, Shule ya Sekondari Yusuph Makamba na kuweka jiwe la Msingi katika Barabara ya Kinzudi iliyojengwa kwa kiwango cha lami yenye urefu wa KM 1 iliyopo kata ya Goba

Na pia mwenge wa Uhuru umezindua miradi miwili ambayo ni Shule ya Msingi kibamba B na kituo cha Afya Makuburi.

Miradi yote iliyopitiwa na mwenge wa uhuru kwa Wilaya ya Ubungo imepitishwa na hakuna mradi uliokataliwa.

Wilaya ya Ubungo ni ya mwisho  kukimbiza Mwenge kwa Mkoa wa Dar es Salaam mwenge, utakabidhiwa Mkoa wa Pemba Mei 13, Pongezi kwa Mkimbiza mwenge wa Uhuru 2024 unaoongozwa na Ndg.Godfrey Eliakim Mnzava, Ubungo inasema asante.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa