• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UBUNGO YAZIDI KUWASOGEZEA WANANCHI WAKE HUDUMA MLANGONI

Posted on: October 21st, 2023

Wananchi wa Mtaa wa Kinzudi kata ya Goba Manispaa ya Ubungo wameachana na changamoto ya kupata huduma za afya katika Zahanati ya Wilaya jirani baada ya kuanza kutumika kwa zahanati mpya katika mtaa huo miezi miwili iyopita.

Bi Christina Felix moja ya wananchi waliofika zahanati hapo kupata huduma ameileza Kamati ya Huduma za uchumi , Afya na Elimu ya Manispaa hiyo amesema kabla ya Zahanati hii wananchi tulikuwa tunapata huduma za afya katika zahanati ya Ndumbwi iliyopo  Wilaya ya kinondoni ambapo kufika huko kwa njia ya Pikipiki ni shilingi 3000 kwenda na kurudi

"Serikali imefanya vizuri kujenga zahanati  hii na sasa imeanza kutoa huduma ,tunashukuru sana kwani tunauhakika wa kupata huduma karibu na kwa gharama nafuu kwani hapa ni katikati" 

Akizungumza wakati wa ziara hiyo  tarehe 21 oktoba,2023  Mwenyekiti wa kamati hiyo Kreluu amesema kuwa, hatua ya kuanza kutoa huduma kwa zahanati hii ni kutafsiri kwa vitendo dhana ya Serikali ya awamu ya sita ya kuhakikisha wananchi wanasogezewa huduma karibu na makazi yao.

Klerru Thomas ameeleza kuwa "Kwa sababu hii Zahanati ni Mpya, napenda kuwatangazia wananchi wote wa Mtaa huu kuwa zahanati yenu imeanza kutoa huduma, njooni tuwahudumie,Mwambie rafiki yako amwambie rafiki yake kuwa Zahanati yetu imeanza kutoa huduma"

Pamoja na kujenga zahanati ya Kinzudi lakini pia Manispaa imejenga zahanati za Temboni na Msingwa katika kata ya Msigani, kupandisha hadi zahanati za Amani, Mpigi magohe na Makuburi kuwa na hadhi ya vituo vya afya.

Kamati pia imetembelea Mradi wa ujenzi wa Shule  mpya ya Msingi kibamba na  shule mpya ya  Sekondari Ubungo NHC ambazo zinatarajiwa kusajiwa mwishoni mwa mwezi huu.

Wajumbe  wa kamati ya huduma za uchumi,Afya na Elimu wakiwa katika ziara ya ukaguzi wa miradi

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa