• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UBUNGO YAZINDUA RASMI WIKI YA HUDUMA KWA MTEJA KATIKA KITUO CHA AFYA GOBA

Posted on: September 2nd, 2024

Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo kupitia Idara ya Afya, lishe na Ustawi wa Jamii imezindua rasmi wiki ya huduma kwa mteja katika kituo cha afya Goba lengo ikiwa ni kuongeza tija na ubora wa utoaji huduma za afya katika Manispaa hiyo.

Wiki hiyo ambayo imezinduliwa rasmi Septemba 2, 2024 na Diwani wa Kata ya Goba Bi. Esther Ladislaus Ndoha imeenda sambamba na utoaji wa huduma za kiuchunguzi, matibabu na elimu ya masuala ya lishe na ustawi wa jamii kwa haraka na utalaam wa viwango vya juu.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Diwani wa Kata ya hiyo Bi. Ndoha, amesema kuwa, maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja “Customer Service Week” ambayo yatahitimishwa tarehe 6/9/2024 yataongeza chachu ya kuhudumia wateja, kuongeza ufanisi na kuwataka watumishi na wahudumu wa Afya kutoa huduma zinazoendana na maadili yao ya kazi huku akisisitiza wananchi kutumia kituo hicho kupunguza msongamano katika hospitali zingine.

Katika hatua nyingine amekiomba kitengo cha Ustawi wa Jamii, kuongeza kasi ya utoaji wa elimu ya ukatili kwa ujumla ili kupunguza matukio hayo yanayoendelea katika jamii sambamba na Wazazi na walezi kutokuwa na kigugumizi pale wanapoona viashiria au dalili za ukatili jwa watoto ili hatua stahiki ziweze kuchukuliwa haraka.

Kwa upande wake Mganga Mkuu wa Manispaa hiyo Dkt. Tulitweni Mwinuka amesema Idara ya Afya kwa kushirikiana na Mkurugenzi wa Manispaa, Wizara ya Afya, Lishe na Ustawi wa jamii imedhamiria kuboresha huduma kwa wateja wake hususani wale wa nje (OPD) kupata huduma ndani ya masaa matatu.

Aidha, amempomgeza Rais Samia Suhuhu Hassan kwa jitihada zake za kuwekeza kwenye miundombinu ya vituo vya kutolea huduma za afya zikiwemo Hospitali, Vituo vya afya, Zahanati, Upatikanaji wa Vifaa tiba na dawa kwa asilimia mia moja hali iliyoboresha zaidi huduma za afya kwa wananchi kwani changamoto ya msongamano imepungua sana

Mmoja wananchi aliyepata huduma kupitia siku ya uzinduzi , Odeta January Kagoma ambaye ni mama wa kwanza kupata huduma ya kujifungua katika katika kituo hicho, yeye ameushukuru uongozi na serikali kwa kupatiwa huduma hiyo akiwa ni mtu wa kwanza ta

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa