• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UBUNGO YAZINDUA RASMI ZOEZI LA UPIMAJI AFYA BURE

Posted on: July 14th, 2023

Tarehe 14 julai, 2023 Manispaa ya Ubungo imezindua rasmi zoezi la upimaji afya bure ambapo huduma ya vipimo, matibabu na ushauri kwa magonjwa mbalimbali yakiwemo ya kuambukiza na yasiyo yakuambukiza  inatolewa kwa muda wa siku mbili na kumalizika kesho tarehe 15 julai, 2023. 

Aidha Zoezi la upimaji wa Afya bure  lilizinduliwa rasmi na Mkoa kuanzia tarehe 10 julai, 2023 ambapo kila Wilaya itatoa huduma ya upimaji wa  afya bure kwa muda wa siku mbili.

Akifungua zoezi hilo la upimaji  wa Afya bure  Mwakilishi wa mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Ismail Malata  Ambaye pia ni Mwenyekiti wa kamati ya huduma za uchumi, afya na Elimu Manispaa ya Ubungo alimshukuru Mhe. Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha watanzania kupata huduma ya afya bure.


Aliendelea kwa kuwasisitiza wananchi wote kujitokeza kwa wingi kupima afya kwani  magonjwa ni mengi

"Wanamburahati mjitokeze kwa wingi zoezi hili lipo katika Kata yenu, elimu inatolewa bure kuhusu magonjwa mbalimbali yakiwemo yakuambukiza na yasiyo ya kuambukiza na huduma ya madaktari bingwa inapatikana". Alisema hayo Malata 

Aidha, Naibu Meya Manispaa ya Ubungo  Mhe. Yusuph Yenga ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Mburahati aliendelea kuwahamasisha wakazi wa mburahati kushiriki katika zoezi la upimaji wa afya bure bila ya malipo

Aliendelea kwa kupongeza maandalizi mazuri ya zoezi hilo pamoja na wadau walioshiriki kikamilifu katika maandalizi ya zoezi hilo

Wadau mbalimbali wameshiriki kikamilifu katika kuhakikisha zoezi hili linafanyika kwa ukamilifu ambao ni  CRDB, NMB, MDH, Mwananyamala hospitali, na BOCHI hospitali

Halikadhalika Mganga Mkuu Manispaa ya Ubungo Dkt.Tulitweni Mwinuka ameshukuru Mkoa kwa kuweza kuratibu zoezi hilo na kufanikisha sambamba na kuwapongeza wadau kwa ushirikiano wao mkubwa wa kuhakikisha Ubungo inafanikisha zoezi hilo.

Nae bi. Amina kilango mwananchi ambaye amefanikiwa kupata huduma  ameishukuru Serikali kwa kuwezesha huduma ya upimaji afya bure kuwafikia


Mmoja wa wadau walio saidia zoezi la upimaji afya bure kufanyika  akipewa cheti cha pongezi na mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya Mhe. Ismail Malata ambaye pia ni diwani wa Kata ya Mbezi 

























Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa