• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

USTAWI WA HALI YA LISHE MANISPAA YA UBUNGO WAZIDI KUIMARIKA KWA ROBO YA TATU KWA MWAKA WA FEDHA 2022/2023.

Posted on: May 10th, 2023



Mapema leo Mei 10, 2023 kamati ya lishe Manispaa ya Ubungo imewasilisha taarifa ya utekelezaji wa mkataba wa Lishe kwa viashiria vya upimaji kutokea mwezi Januari mpaka Machi 2023.


Akiwasilisha taarifa hiyo Afisa Lishe wa Manispaa ya Ubungo Ndg. Beatrice Mossile amesema kuwa hali ya lishe katika shule mbalimbali za msingi na sekondari kwa Manispaa ya Ubungo imezidi kuimarika kufuatia kuongezeka kwa afua mbalimbali za Lishe pamoja na kuongeza mafunzo ya Lishe kwa walimu na maafisa mbalimbali katika ngazi ya kata na mitaa.


Katika kipindi cha robo ya tatu kutoka mwezi Januari hadi machi 2023 ugawaji wa Madini ya chuma kwa wakina mama wajawazito umefikia asilimia 99.4 na utoaji wa elimu ya ulishaji kwa watoto wenye umri wa kuanzia miezi 0 - 25 umefikia asilimia 100

Aidha akiongezea katika taarifa yake, Mossile amesema kuwa Manispaa ya Ubungo imetoa jumla ya shilingi 22,598,221 sawa na asilimia 83.7 kati ya shilingi 27,003,1000 iliyokuwa imepangwa kwaajili ya utekelezaji wa afua mbalimbali za Lishe

"Kwa kipindi hiki cha robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2022 /2023 Manispaa ya Ubungo imefanikiwa kutoa fedha za afua za lishe hali iliyopelekea kutekeleza vizuri mikakati ya kuboresha hali ya lishe hasa mashuleni"


Kwa upande mwingine bado kuna changamoto kwa baadhi ya shule kutokupata chakula mashuleni hali inayopelekea kuathiri ustawi wa lishe na afya kwa wanafunzi hao. Miongoni mwa shule hizo ni pamoja na shule ya sekondari Makurumla, Shule ya sekondari Mpiji Magoe pamoja na shule ya sekondari Mugabe

Nae Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg. Beatrice Dominic ameendelea amesisitiza kuendelea kutafuta suluhisho kwa changamoto hizo ili kuongeza hali ya lishe kwa shule zote za msingi na sekondari za Manispaa ya Ubungo


Vile vile Beatrice amesisitiza umuhimu wa idara mtambuka na lishe kushirikiana pamoja kwenye utekelezaji wa mipango mbalimbali ya lishe mashuleni na kwenye jamii ili kurahisisha uandaaji wa taarifa na kufikia malengo ya kuboresha ustawi wa lishe mashuleni na kwenye jamii kwa ujumla ndani ya Manispaa ya Ubungo.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa