• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UTEKELEZAJI WA TATHMINI YA LISHE UBUNGO KWA KIPINDI CHA JULAI 2022 HADI 2023

Posted on: August 7th, 2023

“Tusichukulie lishe kama kazi badala yake tuichukulie lishe kama shughuli” Alisema Mhe. Hashim Komba Mkuu wa Wilaya ya Ubungo.

Kauli hiyo ameitoa wakati wa kikao cha kujadili taarifa ya tathimini ya mkataba wa lishe kwa kipindi cha Julai 2022 hadi Juni 2023 kilichofanyika katika Ukumbi wa Manispaa ya Ubungo kilichohudhuliwa na Watendaji Kata wa Wilaya hiyo ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa masuala ya lishe.

Mhe. Komba ameendelea kueleza kuwa lishe ni suala mtambuka na utekelezaji wake unajumuisha wadau mbalimbali wakiwemo wafawidhi wa zahanati na vituo vya afya, wamiliki wa mashine za unga pamoja na wenyeviti wa kamati za Shule na wengine wengi ili kuiwezesha jamii kupata elimu mahususi juu ya umuhimu wa lishe bora hivyo ni vyema shughuli mbambali zifanyike juu ya uhamasishaji wa elimu ya lishe katika jamii.

“Kamati ya lishe msisubiri vikao vya kikanuni pekee, nendeni mkafanye vikao na wadau mbalimbali wa lishe ili kuweza kupata mawazo yao juu ya masuala ya lishe ikiwa pamoja na kutembelea Kata zenye changamoto ya lishe” Alisisitiza Komba.

Aidha, Mhe. Komba amewataka Watendaji wa Kata na Mitaa kusimamia michango inayotolewa na wazazi shuleni ili iwe na uhalisia ambao utawezesha wazazi kuchangia bila shida na hivyo watoto wote wataweza kupata chakula shuleni.

Akiongelea mafanikio yaliyofikiwa kwa kipindi cha Julai 2022 hadi June 2023 Afisa Lishe wa Manispaa hiyo Beatrice Mossile amesema utoaji wa fedha za kutekeleza afua za lishe uliongezeka kwa asilimia  2.84 (86.61%) kulinganisha na mwaka wa fedha Julai 2021 hadi Juni 2022 ambapo utoaji wa fedha ulikuwa kwa asilimia 83.77% na ilifanikiwa kutenga zaidi shilingi 1000 kwa kila mtoto.

Sambamba na hilo Mossile ameeleza kuwa mafunzo yalitolewa kwa wamiliki na walezi 152 wa shule za awali, walimu 76 wa afya Shule zote za Serikali za msingi na sekondari na utoaji wa elimu kwa jamii kuhusu masuala ya umuhimu wa unyonyeshaji maziwa ya mama katika kipindi cha miezi sita ya mwanzo ya uhai wa mtoto na elimu ya kujikinga na magonjwa yasiyoambukiza kwa kuzingatia ulaji unaofaa na kufanya mazoezi.


Afisa lishe Manispaa ya Ubungo Beatrice mossile akitoa elimu kuhusu maswala ya lishe wa wajumbe wa kikao hicho

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa