• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UWEKEZAJI WA ZAIDI YA BILLIONI 260 KUFANYIKA UBUNGO

Posted on: September 18th, 2021

Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe.Kitila Mkumbo ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ubungo   tarehe 18/9/2021 amepokea taarifa ya mradi wa ujenzi wa Kituo Cha Biashara na Vifaa vya Afrika Mashariki ambao kampuni ya shangai  linghang Group itaufanya katika eneo la Ubungo ambapo  stendi ya zamani ya mabasi ilikuwepo

Akisoma  taarifa ya mradi  mbele ya viongozi wa mbalimbali wa serikali  Director wa Kampuni shangai Linghang Cath Wang alisema kuwa kampuni hiyo ya kichina   inategemea kufungua Kituo Cha Biashara na Vifaa vya Afrika Mashariki ambacho kitatoa huduma  kwa watanzania wote na kutengeneza fursa mbalimbali kwa watanzania

Aliendelea kwa kusema  kuwa ujenzi wa  mradi huo utakamilika kwa muda wa miezi 15 na Utakuwa na gharama zaidi ya  billioni 260 za kitanzania na utakapomalizika unaweza  kutengeneza fursa ya ajira kwa takribani watu elfu 20 pia  kusaidia halmashauri kuweza kukusanya  mapato na kuwa kivutio katika Wilaya  ya Ubungo kwa ukubwa na ubora wake

Aidha kitila amesema kuwa ni mradi ambao utakuwa na tija na manufaa kwa watu wa Ubungo na watanzania kwa ujumla kwa kuweza kurahisisha upatikanaji wa huduma hata kuleta manufaa kwa serikali na hasa katika ukusanyaji wa mapato ambao halmashauri itaenda kunufaika

Aliendelea kwa  kuwapongeza na kuwaasa kampuni hiyo kuzingatia vigezo ambavyo viongozi mbalimbali  waliweza kuvisema ili kuleta maboresho katika taarifa yao waliyoisoma ikiwemo uzingatiaji wa vigezo vilivyotolewa

Aidha mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Beatrice Dominic  ameishuru kwa kampuni hiyo ambayo inaenda kutengeneza fursa kwa Wana Ubungo na pia Manispaa kuongeza mapato yake kupitia mradi huo


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa