• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UZINDUZI WA ZOEZI LA UPIMAJI WA AFYA BURE KIMKOA WAFANYIKA UBUNGO

Posted on: June 20th, 2024

Zoezi la upimaji wa Afya bila malipo rasmi limezinduliwa Ubungo katika uwanja wa barafu uliopo Mburahati kuanzia  tarehe 20/6/2024 na Kampeni hiyo imeenda sambamba na kauli mbiu isemayo "Pima Afya yako kwa uhakika wa kesho yako"

Kampeni hiyo kwa Ubungo itafanyika kwa muda wa siku mbili kuanzia Leo na kumalizika kesho tarehe 21/6/2024 na kuendelea katika Wilaya nyingine Lengo likiwa  ni kuwapa fursa Wana Dar es salaam kupima magonjwa yanayoambukiza na yasiyo ambukiza bila ya malipo yoyote pamoja na utoaji wa elimu ya masuala mbalimbali ya Afya.


Akizindua zoezi hilo Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es salaam Dkt. Toba Nguvila amesema kuwa,  kampeni hiyo ni ya siku 10 na imezinduliwa Leo kimkoa katika Wilaya ya Ubungo na zoezi hilo litaendelea katika ngazi zote za Wilaya Mkoa wa dar es salaam kwa muda wa siku mbili kwa kila Wilaya 

Nguvila ameendelea kueleza kuwa, Kampeni hii imelenga kuwajengea utamaduni watanzania wote kuwa na tabia ya kupendelea kupima magonjwa mbalimbali  mara kwa mara jambo ambalo litawasaidia watu wengi kutambua endapo anachangamoto yoyote ili aweze kuchukua hatua za haraka za kupata matibabu

Aliendelea kuwasisitiza wananchi kupima magonjwa kupitia kampeni hii kwani ni rahisi na bila malipo na huduma za afya zinazotolewa ni kuanzia ngazi ya Msingi hadi ubobezi

Aidha, Nguvila amesema kuwa, katika zoezi hilo huduma mbalimbali zitatolewa ikiwemo uchunguzi  magonjwa ya Afya ya akili, kinywa na meno, moyo, magonjwa ya kina mama na watoto, utoaji wa chanjo, saratani ya shingo ya kizazi, tezi dume, ushauri wa kisaikolojia,upimaji na ushauri wa lishe na magonjwa yasiyoambukiza, VVU  na utoaji wa elimu ya Afya 

Na pia Nguvila amewakabidhi vyeti vya pongezi wadau walioshiriki katika uandaaji wa zoezi hilo wakiwemo JKCI, MDH, OCEAN ROAD HOSPITAL, AMRIF, BARIKI PHARMACY, AFYA CHECK, MASSANA HOSPITAL, INTERNAL HIGH CLINIC n.k

Nae Mganga Mkuu wa Mkoa Mohamed Mang'una amesema kuwa zoezi hilo lina lenga kuwasaidia wananchi wa Mkoa wa Dar es salaam kwa kupima magonjwa mbalimbali bila ya malipo





Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa