• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

"VIFO VYA MAMA NA MTOTO VIISHE NA IWE HISTORIA" ~ BODI YA AFYA UBUNGO

Posted on: January 8th, 2025

Wajumbe wa Bodi ya Afya Manispaa ya Ubungo wamewataka watumishi wa idara ya afya walioko katika vituo vya afya na hospitali  kuendelea kutoa huduma nzuri na kwa weledi sambamba na kutoa elimu kwa wajawazito wanapofika Kliniki ili waweze kuokoa maisha yao na watoto wao kipindi Cha kujifungua.

Hayo yameleezwa  Januari 8, 2025  baada ya taarifa ya idara ya afya, lishe na ustawi wa jamii kwa robo hiyo kusomwa na kuonesha idadi ya watoto wafu waliozaliwa ni 31, vifo 4 na Vifo vya wazazi 3.

Wakijadili taarifa ya robo ya kwanza ya afya ya Septemba mpaka Disemba  kwa mwaka wa Fedha  2024/2025, Wajumbe hao walisema kuwa kwa idadi hiyo wakunga wakipambana kutoa elimu na kuendelea kutoa huduma ka weledi Ubungo inaenda kuondokana na vifo vya mama na mtoto na hivyo itakuwa historia.

Kupitia taarifa hiyo idara ya afya ,lishe na ustawi wa jamii wameweza kutoa mafunzo kazini ya ufuatiliaji wa uchungu ambayo yamefanyika kwa watoa huduma 62 wa vituo vya Serikali na binafsi vinavyotoa huduma ya uzazi salama.

Aidha,Wajumbe wamesisitiza suala la usafi katika masoko uongezeke ilikuepukana na magonjwa ya mlipuko ambayo yanaweza kutokea.

Kuhusu utoaji wa chakula kwa wanafunzi mashuleni wamemtaka afisa lishe kusimamia jambo hilo kwa kila Shule ili liweze kutekelezwa na wanafunzi waweze kupata chakula.

Nae, Mganga mkuu Manispaa ya Ubungo Dkt.Tulitwene Mwinuka amewataka wajumbe kuendelea kuchukua tahadhari na kutoa elimu kwa umma kuendelee na kujilinda na magonjwa ya mlipuko ambapo amewataka kuhakikisha muda wote Wana nawa mikono kwa maji tiririka na kuchukua tahadhari.





Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa