• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

VIKUNDI 90 UBUNGO KUNUFAIKA NA MIKOPO YA 10% YENYE THAMANI YA BILIONI 2.4

Posted on: March 6th, 2025

Vikundi 90 vya Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu Wilaya ya Ubungo vinaenda kunufaika na Mikopo ya asilimia 10 yenye thamani ya shilingi 2,041,123,500/= inayotokana na mapato ya ndani  imetolewa rasmi Leo tarehe 6 machi, 2025 na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Lazaro Twange  ambaye pia ni Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ametoa Hundi ya Mikopo hiyo na kuwataka  wananufaika wa Mikopo hiyo kufanya shughuli za kujiwezesha kiuchumi ili waweze kufanya marejesho ya Mikopo hiyo.

Akizungumza katika hafla hiyo Mhe. Twange amewataka wanufaika wote watakaopata Fedha hizo wakatumie Fedha kwa malengo tajwa kama walivyoomba na sio vinginevyo.

"Fedha hizi si zawadi, Fedha hizi zinatakiwa zifanyiwe marejesho ili na wengine wapate kwa ajili ya kujiwezesha na wao wapate kipato kwa ajili ya kujikimu kiuchumi, hivyo safari hii lazima kila mnufaika afanye marejesho kwa wakati ni agizo na kila mmoja akatimize wajibu wake" alisisitiza Twange.

Twange, aliwaeleza pia lengo la Serikali ya Awamu ya sita ni kuhakikisha watanzania wote wanakuwa na kipato na katika kuwawezesha katika Mikopo hii ambayo inaenda kutolewa, Twange aliendelea kusema Ubungo imetoa Fedha hizo katika mapato yake ya ndani hivyo ni lazima Fedha hizo zirudishwe na wengine wapate.

Nae, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ubungo Mhe. Jaffar Nyaigesha amewaeleza vikundi vyote kuwa ni muhimu kutambua Mikopo hiyo haina riba na hiyo yote ni kuhakikisha wananchi wanainuka na kujikwamua kiuchumi hivyo ni lazima wafanye kila wawezavyo kufanya marejesho ili wengine wakope na watakaofanya marejesho vizuri waweze kukopa tena na tena .

Aidha, wanufaika wa Mikopo hiyo wameishukuru Manispaa kupitia idara ya maendeleo ya jamii  kwa kusimamia zoezi hilo ambalo linaenda kuwapa faraja na kuwainua kiuchumi . 

Na pia katika hafla hiyo, viongozi mbalimbali wameshiriki na wadau mbalimbali wa kifedha wakiwemo NMB, CRDB, TCB, NBC na DCB.





Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa