• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mipango miji na Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Utumishi na Utawala
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Maji na Usafishaji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Mazingira na udhibiti wa taka ngumu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
        • Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

VIONGOZI UBUNGO WAPIGWA MSASA MFUMO MPYA WA KIELEKTRONIKI WAUKUSANYAJI WA USHURU WA MAEGESHO

Posted on: November 25th, 2021

Wakala wa barabara za vijijini na mijini Tanzania (TARURA) imetoa mafunzo elekezi kwa viongozi wa Wilaya ya Ubungo wakiwemo Kamati ya Ulinzi na Usalama, Madiwani na Wataalamu juu ya uanzishwaji wa mfumo mpya wa kielektroniki wa  kukusanya ushuru wa maegesho unaoitwa TeRMIS App  ikiwa ni mkakatibwa  kuongeza mapato na kuboresha miundombinu ya barabara    

Akitoa ufafanuzi malengo ya kuanzisha mfumo huo Geofrey Mkinga meneja wa TARURA Mkoa wa Dar Es Salaam alisema kuwa utaongeza ufanisi wa ukusanyaji mapato ya serikali yatakayosaidia kuboresha maendeleo ya barabara na kusaidia wateja kufanya maombi na kulipia huduma bila kufika ofisi za TARURA hali itakayopunguza usumbufu kwa wateja.

Mkinga amesema kuwa mfumo huo utaanza kutumika rasmi  Desemba 1, 2021  hivyo watumiaji wote wa vyombo vya moto wajiandae kuanza kutumia mfumo huu ambao ni rafiki na rahisi zaidi.

Kuhusu gharama za ushuru wa maegesho hayo ,Mkinga  ameeleza  kuwa mtumiaji wa maegesho anatakiwa kulipa tsh 500/= kwa saa na tsh 2,500/= kwa siku

 Mkinga ameendelea kueleza kuwa , mtumiaji wa maegesho anatakiwa kulipa ushuru wa maegesho ndani ya siku 14 tangu alipotumia Maegesho na endapo atashindwa kulipa ndani ya muda huo anatakiwa kulipa ushuru wa maegesho pamoja na faini ya tsh 10,000/=. Aidha wananchi wanapaswa kujua mwisho wa mipaka ya maeneo yao na kuacha kutumia maeneo ya TARURA kiholela pia wanapaswa kujua kuwa fedha za ushuru wa maegesho zinazokusanywa na wakusanya ushuru ni za serikali na sio zao binafsi.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ndugu Kheri James amewapongeza TARURA Kwa kuweza kuanzisha mfumo huo wenye kuleta tija kwa jamii.

Taarifa

  • HUDUMA YA KUKODI GARI LA MAJI TAKA June 12, 2019
  • TAARIFA KWA UMMA August 12, 2019
  • TAARIFA KWA UMMA April 26, 2021
  • TANGAZO KWA WAMACHINGA WOTE November 20, 2021
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • UBUNGO YATOA ELIMU YA UNYONYESHAJI KWA KINA MAMA

    August 03, 2022
  • WAFANYABIASHA WAKUBALI KUANZA KULIPA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA

    August 03, 2022
  • UBUNGO YAFANYA MKUTANO NA WAFANYABIASHARA

    July 31, 2022
  • MSTAHIKI MEYA AKUTANA NA VIONGOZI WA SHIUMA UBUNGO

    July 25, 2022
  • Tazama zote

Video

HAKUNA MGOMO WA MABASI MAGUFULI
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa