• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

VIONGOZI WA WAFANYABIASHARA SOKO LA MANZESE WALA KIAPO CHA UADILIFU

Posted on: June 19th, 2025

Viongozi wapya wa wafanyabiashara katika soko la Manzese wamekula kiapo cha uadilifu kwa watumishi wa umma mbele ya Kamishina wa viapo Asha Chande ili kuanza rasmi majukumu yao.

Kiapo hicho kimefanyika Juni 19, 2025 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, kimehusu viongozi wapya wa Vizimba,  Kuku na Wachinjaji waliochaguliwa katika uchaguzi wa Mei 5, 2025.

Akizungumza baada ya kiapo hicho, Mwanasheria wa Manispaa ya Ubungo Emily Ramadhan amewataka viongozi hao kuzingatia kiapo hicho na kufanya kazi kwa uadifilifu na uaminifu mkubwa kwasababu wameaminiwa ili kutoa huduma zenye tija kwa jamii.

"Lengo ni kuhakikisha kwamba wanajifunga na sheria, kanuni na taratibu za utumishi wa umma ili wakatekeleze majukumu yao kwa ufanisi na weledi. Kwa wale watakaokiuka na kukinzana na viapo vyao watachukuliwa hatua ikiwemo kufikishwa mahakamani" ~Amesema Ramadhan

Kwa upande wake Afisa biashara anayeshughulikia Manzese Bw. Mapembe amewasisitiza viongozi hao kutekeleza majukumu yao kikamilifu ikiwemo kusimamia ukusanyaji wa mapato, usafi, na ulinzi ili kukidhi matarajio ya Serikali na Wananchi.

Wakizungumza kwa niaba ya viongozi hao waliokula kiapo Bw. Haruna said Korongo, Mwenyekiti kitengo cha Kuku na Bw. Taji Kanuti, Mwenyekiti kitengo cha Vizimba kwa pamoja wameishukuru Manispaa ya Ubungo kwa kuwajengea uwezo na kuwafundisha taratibu za utumishi wa umma na kuahidi kwenda kuzisimamia kwa maslahi ya nchi na wananchi.

"Kiapo ni sheria, nitalinda kiapo changu kwa kuleta ustawi, na kusimamia bila ubaguzi kwani kiapo ni sehemu ya muongozo. Tunaahidi kwenda kutimiza majukumu yetu kwa mujibu wa kanuni na taratibu za Manispaa" Wamesema

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI ZAIDI YA 200,000 WANUFAIKA NA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA

    June 21, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI UBUNGO LAVUNJWA, DC MSANDO AWAMWAGIA SIFA

    June 20, 2025
  • VIONGOZI WA WAFANYABIASHARA SOKO LA MANZESE WALA KIAPO CHA UADILIFU

    June 19, 2025
  • KIKAO CHA TATHMINI YA LISHE KWA ROBO YA TATU MWAKA WA FEDHA 2024/25 (JANUARI - MACHI 2025)

    June 20, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa