• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

VITUO BINAFSI VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA VYA KUMBUSHWA KULIPA USHURU WA HUDUMA

Posted on: November 13th, 2023

Wamiliki wa vituo binafsi vya kutolea huduma za afya Manispaa ya Ubungo zikiwepo zahanati, vituo vya afya, kliniki na hospitali wakumbushwa kulipia ada ya ushuru wa huduma ‘service levy’

Hayo wamelezwa  tarehe 13/11/2023 na Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Ndg. Elias Ntiruhungwa walipokuwa kwenye kikao kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Manispaa hiyo chenye lengo la kuelezana masuala mbalimbali ya vituo binafsi vya kutolea huduma za afya.

Ntiruhungwa ameendelea kueleza kuwa kwa mujibu wa sheria ndogo ya Manispaa ya mwaka 2022 kifubgu cha 6(1) na cha 16 imeelekeza kila mfanyabiashara anaepaswa kulipia ada ya ushuru wa huduma namna anapaswa kulipa ushuru huo.

Akifafanua Ndg. Graham J Makundi Afisa mapato wa Manispaa hiyo ameeleza ada ya ushuru wa huduma kwa vituo vya kutolea huduma za afya inapatikana kwa kuchukua asilimia 0.3 ya mapato ghafi yote, na inalipwa mara nne kwa kila robo mwaka yaani Julai - Septemba, Oktoba - Disemba, Januari - Machi na Aprili - Juni.

Kwa upande wake Feda Mwacha Afisa Biashara wa Manispaa hiyo amewataka Wamiliki hao sambamba na kulipia ada ya ushuru wa huduma pia wanapaswa kulipia leseni za biashara zao kwa kutumia mfumo mpya wa mapato Tausi.

Feda ameendelea kueleza kuwa wakati wa kulipia leseni za biashara wamiliki hao wanapaswa kuwa na NIDA namba zao, TIN, Mkataba wa pango la vituo vyao kwa waliopanga na wasiopanga watumie risiti zao za malipo ya umeme au bili ya maji pamoja na kibali cha wizara ya afya na BRELA kwa wenye makampuni ili kuwawezesha kujisajili kwenye mfumo huo kabla ya kulipia leseni zao.

Nae Mganga Mkuu wa Manispaa hiyo Tulitweni Mwinuka amewataka wamiliki hao kuhuisha leseni zao pamoja na kulipia ada ya ushuru wa huduma sambamba na kuzingatia sheria kanuni na taratibu za masuala ya afya kwenye vituo vyao.


Pichani ni wamiliki wa vituo vya binafsi wakipewa elimu ya mlipa kodi

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa