• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

VITUO VYA AFYA UBUNGO VYAPONGEZWA

Posted on: February 12th, 2024

kiwa ni siku ya mwisho ya kikao Cha tathimini ya Idara ya afya,Ustawi wa jamii na lishe Manispaa ya Ubungo pongezi zimetolewa kwa vituo vya afya vya serikali na binafsi vilivyofanya vizuri kwa kipindi Cha miezi sita kuanzia julai hadi disemba 2023

Pongezi hizo zimetolewa  tarehe 12 februari, 2024 na Mgeni rasmi ambaye pia ni Mwenyekiti wa bodi ya Afya Manispaa ya Ubungo Ndg Allen Sempori  na kuwataka wale wote waliofanya vizuri mpaka kupata vyeti vya pongezi jitihada ziendelee ikiwemo huduma nzuri kwa wananchi wanapotoa huduma kwenye vituo vya afya na wale waliokosa waongeze bidii ya utoaji  mzuri wa huduma na usimamizi wa vituo.

Aliendelea kwa kueleza kuwa huduma nzuri kwa jamii inasaidia kuleta matokeo chanya kwa Taasisi hasa kwa  kuhakikisha jamii inapokea na kufurahia huduma zinazotolewa katika vituo

"Tuzingatie maadili na weledi kazini,huduma nzuri inaonekana na kila mmoja atatamani mara kwa mara kuja kupata huduma katika kituo kinachotoa huduma nzuri" alisisitiza Sempori

Akiongea Mganga Mkuu Manispaa ya Ubungo Dkt.Tulitweni Mwinuka amepongeza vituo vyote vilivyofanya vizuri na kuwataka kuendelea kufanya kazi kwa weledi kwani jitihada hizo ni kwaajili ya Manispaa na pia inaonyesha huduma ambazo jamii inazipata ni nzuri

"Nitoe pongezi kwa vituo vya Serikali na binafsi kwa jitihada za kuhakikisha utoaji wa huduma bora unaondelea kufanyika" alisema Mwinuka

Mwinuka amesisitiza zoezi ambalo linaendelea la utoaji wa chanjo ya Surua na  Rubela  kwa watoto walio chini ya miaka mitano kuanzia umri wa miezi tisa mpaka miaka 5  kila kituo kikasimamie vizuri na elimu ikatolewe kwa jamii kuhusu umuhimu wa chanjo hiyo kwa watoto

Aidha, Vituo vilivyopata vyeti vya pongezi ni pamoja na Sinza Hospital,Kimara kituo Cha Afya, Kituo Cha Afya Mbezi, Zahanati ya Amani, Kituo Cha Afya Makurumla, Hospitali binafsi ya Bochi, Hospital ya Edward Michaud, Zahanati ya Goba,Hospital ya Wilaya ya Ubungo na Kituo Cha Afya St.Monica.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa