• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

WADAU WA MAENDELEO WAPELEKA TABASAMU KWA WAFUNGWA SEGEREA

Posted on: March 2nd, 2025

WANAWAKE NA WANAUME UBUNGO WAPELEKA TABASAMU KWA WAFUNGWA SEGEREA

Katika kusherehekea siku ya wanawake duniani ambayo kilele chake ni Mrchi 8, 2025, Wanawake wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo wakiwa wameambatana na wadau mbalimbali wa maendeleo wametembelea Gereza la Wafungwa Segerea na kuwapelekea zawadi mbalimbali.

Wanawake hao wameshiriki Shughuli hiyo ya Kijamii wakiongozwa na Beatrice Mbawala aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mh. Lazaro Twange wametoa msaada wa vitu mbalimbali ikiwemo Dawa za Meno, Pampas,  Maziwa ya watoto, Mafuta, Sabuni, na vitu vingine ili kuwafariji wafungwa na kujiona watu wasiotengwa katika jamii.

Mratibu wa dawati la wanawake Manispaa ya Ubungo Bi. Hilda Malosha amesema wameenda kuwaona wafungwa kwani ni kundi ambalo jamii linawachukulia kuwa ni wahalifu hivyo wanahitaji upendo na kuwakumbuka kwenye mahitaji huku akiwaasa kuona kama hapo ni mafunzoni na wakirudi uraiani wabadilike.

Aidha amesema kuwa  siku ya wanawake iwe chachu kwa jamii  kuweka utaratibu wa kuwatembelea na kuwapelekea baadhi ya mahitaji yao ya muhimu.

Baadhi ya wafungwa katika Gereza hilo, wamewashukuru wanawake kwa wanaume hao kwa kuwatembelea na kuwaomba kuendelea kuwatembea wafungwa  kwa wakati mwingine huku wakiwtaka kuongeza nguvu katika utoaji wa elimu ya masuala mbalimbali ya kiuhalifu kama vile kujihusisha na Uuzaji wa Madawa ya kulevya, wiki, mauaji, ujambazi n.k ili jamii isiingie katika madhira hayo ya vifungo vya muda mrefu au vifungo vya maisha.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa