• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

WAFANYA BIASHARA UBUNGO WATAKIWA KUFATA BEI ELEKEZI YA SUKARI

Posted on: March 9th, 2024

Aliyekuwa Mkuu wa wilaya Ubungo mhe. Hashimu Abdallah Komba (Kwasasa mkuu wa wilaya ya Geita) amewataka wafanyabiashara wa sukari kuacha tabia ya kuuza sukari kwa bei juu badala yake wazingatie bei elekezi iliyotolewa na serikali ya kati ya shilingi 2700 hadi 3000.

DC Komba ametoa maelekezo  hayo machi 9, 2024 kwenye ziara ya kutembelea na kukagua maduka yaliyopo mtaa wa Msigani eneo la malambamawili na kubaini uwepo wa wafanyabiashara wanaouza sukari kuanzia 3500 hadi 4500 jambo ambalo linaumiza watumiaji (wananchi).

DC Komba amasema "Kamati ya ulinzi na usalama tumeamua kufanya ziara ya kujiridhisha kuona kama bei elekezi ya sukari inazingatiwa kwenye maeneo yetu na tumebaini wapo wafanyabiashara wasiozingatia maelekezo ya serikali, na tumeanza kuchukua hatua"

Serikali ilitoa vibali kwa wafanyabiashara wakubwa kuagiza sukari kutoka nje ya nchi ili kuondokana na changamoto ya upungufu na kupanda kwa bei  ya sukari hasa kwa mtumiaji wa mwisho hivyo ni wajibu wa kila mfanyabiashara kuzingatia bei elekezi.

Aidha, katika ziara hiyo, imebainika kuwa baadhi ya Wauzaji wa kati wa jumla wamejitengenezea bei yao kwa ajili ya kujipatia faida zaidi hali inayopelekea wauzaji wa lejaleja kuuza kwa bei kubwa  na kufanya wananchi kuichukia Serikali kwa kusema maelekezo ya serikali hayatekelezeki.

Kwa upande wake mwenyekiti wa Mtaa wa Msigani Elibariki Mollel amekiri uwepo wa wafanyabiashara wanaouza sukari kwa bei kubwa kutokana na hali hiyo amesema uongozi wa mtaa utaendelea kusimamia maelekezo ya serikali katika uuzaji wa sukari.

Ikumbukwe kuwa Serikali ilitoa vibali kwa waagizaji wakubwa wa sukari kugiza bidhaa hiyo kwa kuondolewa kodi ya thamani lengo ikiwa kuhakikisha mtumiaji wa mwisho anapata sukari kwa bei nafuu.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • CRDB WAMKARIBISHA DC MSANDO KWA KUTOA MADAWATI 30 NA VIFAA VYA MICHEZO

    May 22, 2025
  • MAFUNZO KWA WATENDAJI NGAZI YA KATA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    May 14, 2025
  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa