• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

WAGANGA WAFAWIDHI WAPEWA SIKU TANO KUWACHUKULIA HATUA WALIOSABABISHA UPOTEVU WA DAWA

Posted on: May 5th, 2021

Mganga Mkuu wa Manispaa ya Ubungo Peter Nsanya awapa siku tano  wakuu wa  vituo  vya  kutolea huduma za afya vilivyobainika kuwa na upotevu wa dawa kutoa maelezo ya waliohusika ikiambatana na mikakati ya kurejesha fedha hizo mara moja

Mganga Mkuu ametoa Kauli hiyo leo tarehe 5 Mei, 2021 kwenye kikao  kazi kilichohusisha  waganga wafawidhi wa vituo, wafamasia, wataalamu wa maabara na wauguzi kutoka vituo 20 vilivyofanywa ukaguzi wa dawa na vitendanishi na kukutwa na upotevu wa bidhaa hizo

Nsanya amesema kumekuwa na kawaida ya wahudumu wa afya kutofuata utaratibu  wa uwekaji wa taarifa sahihi wakati  utoaji  wa bidhaa za dawa na vitendanishi kwa wateja hali inayopelekea kukosa mtiririko mzuri wa taarifa za  bidhaa zilizopokelewa na zilizotumika.

Wataalamu wa afya kutoka vituoni.

"Nawapa siku tano Hadi kufikia tarehe 10 mwezi huu kila Mkuu wa kituo awe ameleta taarifa ya alivyochukua hatua Kwa waliosababisha upotevu huo poja na mikakati ya kurejesha fedha hizo atakayyeshindwa kufanya hivyo atachukuliwa hatua yeye kwa kushindwa kuwajibika kama kiongozi mkuu wa kituo "  aliagiza Nsanya.

Akisoma taarifa ya ukaguzi maalumu wa bidhaa za afya  Kwa kipindi cha mwezi julai hadi disema 2020, mfamasia wa Manispaa hiyo Magreth Mlai alisema katika ukaguzi upotevu wa dawa ulikuwa eneo la stoo , dawa zilizochina na bidhaa zilizozidi ambapo kwa eneo la stoo pekee  kulikuwa na upotevu wa    bidhaa za afya zenye zaidi ya thamani ya shilingi milioni 66 huku dawa zilizochina au kuisha muda wa matumizi kuwa na thamani ya zaidi ya shilingi milioni 10

Mfamasia wa Manispaa ya ubungo akiwasilisha taarifa ya ukaguzi 

Mlai alisema baada ya ukaguzi timu iligundua kuwa sababu kubwa iliyopelekea kuwepo Kwa upotevu mkubwa wa bidhaa hizo ni kutotumia vizuri mfumo wa GotHomis pamoja kutotumia ipasavyo nyenzo za kutunzia kumbukumbu za matumizi ya bidhaa hizo.

"Tumieni nyenzo za utunzaji taarifa za bidhaa kuanzia stoo hadi hatua ya kumpa mteja hakikisha unaandika ili kuwa na taarifa sahihi za matumizi ya bidhaa hizo kwenye kituo" alisisitiza Mlai

Wakiongea Kwa nyakati tofauti wataalamu hao kutoka kwenye vituo vya kutolea huduma za afya wameahidi kutekeleza agizo hilo ikiwa ni pamoja na kuzingatia utaratibu wa utoaji dawa na vitendanishi ili kuondoa tatizo la upotevu ambalo limejitokeza katika kipindi hiki.





Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa