• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

WAJANE WASHAURIWA KUANZISHA MIRADI YA MAENDELEO KUJIKWAMUA KIUCHUMI

Posted on: July 26th, 2025


Wanawake wajane katika Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo wamehimizwa kuanzisha Vikundi na miradi mbalimbali ya ujasiriamali ili kujikwamua kiuchumi na kuendeleza kikundi chao cha wajane bila kutegemea tu misaada.

Rai hiyo imetolewa na Mlezi wa wajane Manispaa ya Ubungo Bw. Kawina Fonde wakati akizungumza katika kikao kazi kilicho wakutanisha  viongozi wa wajane wilaya ya Ubungo.

Amesema lengo ni  kulikomboa kundi hilo dhidi ya changamoto za ukatili wa kijinsia, vikwazo vya kiuchumi, kukifufua chama chao na kukifanya kuwa na nguvu zaidi, kuwaondolea dhana potofu ya kutoweza ili kuepuka utegemezi, na kuwajengewa uwezo wa kujiamini na kustahilimili changamoto zao kuepuka msongo wa Mawazo.

Vilevile, amewataka wanawake wajane kuanzisha miradi midogomidogo kupitia vikundi vyao walivyovisajili ili viwasaidie kwenye matumizi sahihi ya fedha zinazotolewa na wadau mbalimbali zenye lengo la kuwezesha wanawake hao wajane.

“Kama mwanamke mjane akiwa kwenye vikundi hivi itamsaidia kujenga uwezo wa kujiamini, kujikimu kiuchumi na kuimarisha afya ya akili inayoweza kusababishwa na msongo wa mawazo,” amesema Kawina.

Kwa upande wake Mratibu wa dawati la wanawake Manispaa ya Ubungo Bi. Hilda Malosha amesisitiza juu ya kila mjane kujitambua wenyewe kwa kujituma ikiwemo kuzitambua fursa zilizopo kwenye maeneo yao kama kilimo ili kuweza kujikwamua huku akiomba viongozi wa serikali za mitaa kuwatambua wanawake wote wajane wanaokaa katika mitaa yao ili iwe rahisi hata zinapotokea fursa kuweza kuwashirikisha.

“Kupitia vikundi ni rahisi wafadhili kuwawezesha kwa mitaji kwaajili ya miradi mtakayobuni kutekeleza. Pia ni rahisi hata kupata elimu ya usimamizi na matumizi sahihi ya fedha za vipato vyenu,” amesema Bi. Malosha"- Amesema Malosha

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO (MACHINGA) WAPEWA ELIMU UMUHIMU WA KITAMBULISHO CHA MJASIRIAMALI

    August 13, 2025
  • BANDA LA UBUUNGO LAFURIKA, MAONESHO YA NANE NANE - MOROGORO

    August 08, 2025
  • MHE.MALIMA KATIKA BANDA LA UBUNGO MAONESHO NANENANE

    August 06, 2025
  • UBUNGO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI MAZIWA YA MAMA DUNIANI, ZAHANATI YA GOBA

    August 05, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa