• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

WAJUMBE BODI YA AFYA WAKUTANA KUJADILI TARIFA YA ROBO NNE KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024

Posted on: September 13th, 2024

Wajumbe wa kamati ya bodi ya afya Manispaa ya Ubungo wamekutana kujadili taarifa ya utekelezaji kwa kipindi cha robo ya nne kwa mwaka wa fedha 2023/2024 na kuwataka wataalam kutoka katika dara ya afya kutoa elimu kwa jamii kuhusu umuhimu wa  kujikinga na kupunguza ongezeko la ugonjwa wa malaria kwa kuzingatia matumizi ya vyandarua 

Hayo yamesemwa  tarehe 13/9/2024 wakati wa kikao hicho ambao wajumbe wa kamati hiyo walipopitia utekelezaji wa idara ya afya, lishe na ustawi wa jamii katika nyanja mbalimbali katika kipindi cha miezi mitatu ya robo ya nne

Wakiwa katika kikao hicho, Wajumbe wa kamati wameitaka Idara ya afya kuendelea pia kutoa elimu kwa umma kuhusu kujikinga na maambukizi mapya ya Ukimwi kwani takwimu imekuwa ikiongezeka kwa kasi 

Aidha, kwa upande wa taarifa ya utekelezaji wa huduma za afya na mazingira Wajumbe  wamependekeza masoko yafanyiwe maboresho hasa katika soko la shekilango ambalo mazingira yake sio salama kwa afya ikiwemo mifereji ya kutiririsha maji machafu

Pia wamepongeza halmashauri katika usimamizi mzuri wa miradi ya afya ambayo imetekelezwa na inatumika na kusisitiza wahuduma wa afya kutoa huduma kwa jamii kwa weledi

Na katika masuala ya lishe kamati wameitaka kitengo cha lishe kuendelea kutoa elimu kwa wajawazito kusisitiza matumizi ya vidonge vya folic kwaajili ya kuongeza damu kuepukana na vifo vya wajawazito pamoja na kuzingatia ushauri wa wataalam wa afya wakiwa kliniki

Na pia wajumbe wamepongeza kitengo cha ustawi wa jamii kwa kusimamia na kushugulikia mashauri migogoro 279 ya matunzo ya watoto ambapo migogoro 269 imesuruhishwa,migogoro 7 bado inaendelea kushughulikiwa  na 2 imerudishwa ngazi ya familia na mgogoro 1 umepelekwa Bakwata





Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa