• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

WAJUMBE KAMATI YA MIPANGO MIJI NA MAZINGIRA WAFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA YA MIRADI, WASISITIZA KASI KUONGEZEKA

Posted on: February 17th, 2025

Kamati ya Mipango Miji na Mazingira Manispaa ya Ubungo imefanya ziara ya kutembelea Miradi Februali 17, 2025 na kusisitiza kasi ya usimamizi wa  Miradi hiyo ikamilike kwa wakati ili wananchi waweze kunufaika na Miradi hiyo

Walipotembela katika  Soko la Manzese ambapo Ujenzi wake  umekamilika kwa Asilimia 75 Kamati imeagiza ifikapo Machi 2025, Ujenzi huo uwe umekamilika ili Mradi huo uanze kutumika na Wananchi waanze kunufaika na Mradi huo.

Akizunguma, Mhe. Diwani Kata ya Makurumla Bakari Kimwanga amesema, 

“Ni matamanio yetu kuwa Masoko yote yakamilike kwa wakati ili Fedha hizi zitusaidie kumalizia miradi mingine, kwasababu fedha za ujenzi wa mradi huo zinatokana na Mapato yetu ya Ndani.

Kwenye Mradi wa DMDP wa Maji Taka Kata ya Sinza Mhandisi kutoka Dawasa Ubungo Ndg. Fedrick Mujungu ameeleza wanatarajia kujenga Mtambo huo wa kuchakata Maji Taka kwani unafaida nyingi kwanza kabisa kuimarisha usafi wa mazingira,Lakini pia Kupunguza gharama za kuchakata Maji taka na kingine kuzuia Milipuko  ya Magonjwa. 

Mujungu amesema Kwasasa mradi huo upo asilimia 20 na Wanatarajia ifikapo Mwezi Mei 2025, uwe umekamilika. Na wananchi watakao nufaika  na Mradi huu watatakiwa kuchangia kiasi kidogo cha fedha pindi Mradi huo utakapo anza kutumika . 

Kamati imepongeza jitihada za Mradi huo na imeagiza wao kama Wadau wa Mradi huo waendelee kutoa Elimu kwa Wananchi ili wajue faida za mradi huo lakini pia Mradi huo Ukamilike kwa wakati.

Kamati pia ilipata wasaa wa kutembelea Eneo la Kata ya Sinza panapotarajiwa kujengwa Kitega Uchumi kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 ambapo Afisa Mipango Bi. Editha Ibrahim Kutoka Manispaa ya Ubungo ameeleza kuwa, manispaa inatarajia kujenga Hoteli yenye Hadhi ya Nyota tano eneo hilo la Sinza. Baada ya kukamilika kwa Mradi huo malengo ni  kujiongezea kipato na fedha hizo zitasaidia katika miradi mingine.

Na pia,Kamati  imepitisha mradi huo lakini pia imepongeza jitihada hizo  zinazoendelea kwani pindi mradi utakapo kamilika Utasaidia Kuongezeka kwa Pato la ndani la Halmashauri.





Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa