• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

WALIMU WA MICHEZO UBUNGO WAPATIWA MAFUNZO ELEKEZI

Posted on: March 25th, 2024

Walimu wa michezo katika shule za msingi na sekondari  Manispaa ya Ubungo wamepatiwa mafunzo elekezi ya kuwajengea uwezo na mbinu mpya  za kufundisha michezo kwa kuzingatia kanuni na sheria mpya za ufundishaji wa michezo kwenye shule zao

Akizungumza wakati wa mafunzo hayo kwa vitendo yanayofanyika katika viwanja vya chuo kikuu cha St Joseph jijini Dar es salaam, Afisa michezo wa Manispaa hiyo Bi Wikansia Mwanga amesema mafunzo hayo yanatolewa kufuatia mabadiliko mengi katika sheria za ufundishaji na uchezaji wa michezo mbalimbali.

Mwanga aliendelea kueleza kuwa mafunzo hayo kwa walimu hao ni sehemu ya  maandalizi ya michezo ya wanafunzi wa shule za msingi na sekondari maarufu kama UMITASHUMTA na  UMISETA inayotarajiwa kufanyika mwezi june 2024 mkoani Tabora.


Mwanga amesema " Ni matumaini yangu baada ya mafunzo haya, walimu watakuwa na uwezo wa kufundisha michezo  wanafunzia kwa ufanisi mkubwa  na hivyo kupata timu bora zitakazoshiriki mashindano yao kuanzia ngazi ya Wilaya hadi Taifa" 


 Mafunzo hayo yaliyofanyika kwa muda wa siku mbili kuanzia tarehe 23 na 24 machi, 2024 yameshirikisha walimu 50 wa michezo kutoka  shule  za serikali na binafsi  sekondari na Msingi

Wakiongea kwa nyakati tofauti, walimu hao wameipongeza Manispaa kwa kuendesha mafunzo hayo ambayo yatakuwa chachu kwa waaalimu wa michezo kufundisha wanafunzi kwa ufanisi na hivyo kuandaa timu bora hasa kwenye mchezo wa Pete "Netball" na "volleball"

Michezo ya wanafunzi kwa shule za msingi na sekondari  kitaifa  kwa mwaka huu 2024 itafanyika Mkoani Tabora kuanzia mwezi Juni.















Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa