• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

WAMILIKI WA MABASI WAAGIZWA KUFUNGA OFISI ZILIZO NJE YA KITUO CHA MAGUFULI

Posted on: April 1st, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kisare Makori amewaagiza wamiliki wote wa mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani kuzifunga haraka Ofisi bubu wanazotumia kukatisha tiketi na kupakia abiria badala yake watumie Ofisi zilizopo kituo cha mabasi cha Magufuli kama sheria inayoelekeza.

Makori ametoa agizo hilo leo Aprili mosi  kwenye kikao Kati ya  wamiliki  wa makampuni ya mabasi na uongozi wa Wilaya na Manispaa ya Ubungo na kueleza kuwa  makampuni 24 yana Ofisi nje ya kituo cha Mabasi jambo ambalo ni kinyume na sheria.

"Nawapa siku tatu kampuni zote za mabasi zenye  Ofisi za kukatisha tiketi na kupakia abiria nje ya kituo cha Mabasi cha Magufuli wafunge Ofisi hizo haraka atakayekiuka agizo hili hatua  Kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake ikiwemo kutozwa faini ya shilingi milioni moja kwa basi moja" amesisitiza Makori.

Makori aliendelea kusisitiza kuwa kitendo cha kupakia abiria nje ya kituo cha mabasi cha Magufuli  ni  ukwepaji wa kulipa Kodi ya Serikali jambo ambalo ni kinyume na Sera ya nchi inayosisiyiza ulipaji Kodi.

Akizungumza kwenye kikao hicho, Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Beatrice Dominic amewahakikishi wamiliki wa makampuni ya mabasi hao kuendelea kuweka mazingira mazuri ya kibiashara ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya kituo hicho.

Akichangia kwenye kikao hicho mmiliki wa mabasi ya kampuni ya shabiby  Afiz Said  amesema kitendo cha baadhi ya wamiliki kuwa na Ofisi nje ya kituo cha mabasi pamoja na kuwa kinasababisha  Serikali kupoteza mapato lakini pia sio haki kwa wamiliki waliotii sheria ya kuwa na Ofisi kwenye kituo kwani wanalipa Kodi nyingi zaidi.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa