• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

WAMILIKI WA MABASI WATAKIWA KUTUMIA STENDI RASMI MAGUFULI

Posted on: January 9th, 2025

MKUU wa wilaya ya ubungo  Mhe. Hassan Bomboko amewataka wamiliki wa mabasi yaendayo mikoani wanaopakia na kushusha abiria kwenye vituo visivyo rasmi kurejea katika Stendi kuu ya mabasi ya Magufuli  kama sheria inavyoelekeza.

 Ameyasema hayo  Januari 9, 2025 wakati alipotembelea na kukagua maeneo mbalimbali ya kituo hicho na kusikiliza kero za wafanyabiashara, wadau na wananchi ambao wanafanya kazi zao katika kituo hicho.

Mh. Bomboko  amesema Stendi rasmi ya mabasi yanayotokea Dar es salaam kwenda mikoani ni Stendi ya Magufuli na serikali haijatoa kibali chochote na haizitambui Stendi ambazo sio rasmi, hivyo amewataka wamiliki wote wa makampuni ya mabasi kuhakikisha mabasi yao yanafata Sheria ya kutumia kituo cha mabasi cha Magufuli  na waache kutumia zisizo rasmi.

Ameongeza kuwa kuanzia siku ya kesho (10 Januari, 2025) yeye na timu yake ya ulinzi na usalama atatembelea Stendi bubu zote ili kuhakikisha makampuni yote ya usafirishaji yanafata Sheria ya kurudisha shughuli zao za usafirishaji katika Stendi rasmi ya Magufuli.

Katika kuhakikisha agizo hilo linaanza kutekelezwa, Mhe. Bomboko amewataka LATRA kuhakikisha kuanzia kesho (10 Januari, 2025) mabasi yote yaanze kuingia ndani ya Stendi rasmi ya Magufuli na si vinginevyo.

 Naye mwakilishi kutoka RATRA Ndg. Nziku amesema Stendi nyingine inayotambulika ni ile ya mbagara Kwa magari yanayofanya safari zake za kuelekea kusini na amekiri kuwa hizo nyingine ambazo ni kama shekilango,urafiki na nyinginezo si Stendi rasmi.

Sambamba na hayo Mhe. Bomboko amesema Serikali ina mikakati ya kujenga soko maalum kwa ajili ya wamachinga na ameahidi kuwa serikali itafanyia kazi na kutatua changamoto zote ambazo wadau hao wameziwasilisha.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa