• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

WANANCHI MTAA WA SARANGA KUANZA KUPATA MAJI MACHI 2025.

Posted on: February 8th, 2025

Mkuu wa Wilaya Ubungo Mhe. Lazaro Twange amewahakikishia Wananchi wa Mtaa wa Saranga Mpakani, kuwa ifikapo mwezi Machi 2025 wataanza kupata huduma ya maji na kuondokana na changamoto hiyo iliyodumu kwa muda mrefu . 

DC Twange ametoa ahadi hiyo Februari 8, 2025 wakati alipofanya Ziara ya kutembelea mtaa huo wa Saranga eneo la Mbuguli ambalo limekuwa na changamoto kubwa kwa wakazi wa eneo hilo na kumuelekeza Meneja wa Dawasa kanda ya Kinyerezi kushugulikia swala hilo kwa haraka .

Pia Mhe. DC amemuagiza Meneja wa Dawasa kanda ya Kinyerezi na Uongozi wa mtaa kuzungukia nyumba ambazo wamejiunganishia maji bila kufuata utaratibu na kusababisha wananchi wengine kukosa huduma ya maji ili marekebisho yafanyike ili wananchi wengine wanaokosa maji waweze kupata huduma hiyo ya maji, kwasasa wananchi wanapata huduma hiyo ya maji kupitia Matanki ambayo yanajazwa maji na Dawasa. 

Kwa upande wake Meneja wa Dawasa kanda ya Kinyerezi Crossman Makere alieleza kuwa changamoto ya maji katika mtaa huo anaifahamu na imeanza kufanyiwa kazi, ambapo zoezi la ulazaji wa Mabomba linaendelea ambapo mpaka sasa wameshafanikiwa kulaza Mabomba Kilomita tatu toka chanzo kilipo na zimebakia Kilomita tatu mpaka kufika eneo husika. 

Makere amesema kuwa mradi huo wa Maji unaotekelezwa katika Kanda hiyo utakamilika machi 2025 na wananchi wataanza kupata maji kwani Serikali imeshaleta fedha kwaajili ya ukamilishaji wa mradi huo. 

Aidha meneja huyo ameendelea kufafanua kuwa katika utekelezaji wa mradi huo kuwa mpaka sasa Tanki lenye uwezo wa kubeba maji Lita Milioni tisa limeshajengwa eneo la Bangulo, ambalo litasaidia kusambaza maji katika mtaa wa Saranga na maeneo jirani na kumaliza changamoto ya mgawo. 

Pamoja na changamoto ya maji Wananchi wa Mtaa wa Saranga wamemwomba Mhe. DC kushugulikia changamoto ya Ubovu wa Barabara, Ujenzi wa Kituo cha polisi, na Ujenzi wa zahanati  na Mhe DC ameahidi kutatua kero hizo kwa kushirikiana na wataalamu.





Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa