• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

WANANCHI WAASWA KUILINDA AMANI YA NCHI

Posted on: December 9th, 2024

Mkuu wa wilaya ya Ubungo Mh. Hassan Bomboko ameongoza mamia ya wananchi wa Ubungo kufanya usafi eneo la Stendi ya mabasi Magufuli pamoja na upandaji wa Miti ya kivuli 270 leo ikiwa ni katika kusherehekea kilele cha miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania bara.

Hayo yamefanyika Disemba 9, 2024 katika maeneo mbalimbali ya Manispaa ya Ubungo kabla ya kuhitimishwa rasmi katika viwanja vya stendi ya Mabasi Magufuli ambapo Watumishi wa Manispaa, Jeshi la Polisi, Jeshi la Akiba na Taasisi mbalimbali pamoja na wananchi wamejumuika katika zoezi la kufanya usafi pamoja na upandaji wa miti.


Akizungumza na wananchi katika kilele hicho mara baada ya zoezi la usafi na upandaji wa miti, lilioambata na michezo mbalimbali na Jogging, Bomboko ametoa rai kwa wananchi kuilinda amani ya nchi ili kuendelea kuwa na mshikamano.

"Tunafanya shughuli zetu kwa kuwa Taifa letu lina amani hivyo tuendelee kuenzi amani ya nchi yetu, kwani amani ikiondoka hatuwezi kufanya shughuli zozoteā€ amesema Bomboko.

Amebainisha kuwa, nia na dhamira ya dhati ya Rais wa Tanzania Mh. Rais Samia Suluhu Hassan ni kutatua changamoto mbalimbali zinazomkabili mtanzania.

"Nitoe rai kwenu Madiwani, Mstahiki Meya, Wananchi na viongozi wa vyama hata vile vyama rafiki, tusione haya kusema yaliyofanywa na huyu mama. Mama amefanya makubwa kwenye Afya, Barabara,  Vituo vya Afya na Hospitali, kwa Ubungo hatuna tunachomdai, bali anatudai sisi mwakani"- amesema Bomboko

Aidha Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo William Mlenduke amesema idadi ya miti iliyopandwa kupitia maadhimisho haya ndani ya wilaya ya Ubungo kwa mwaka 2024/25  kufikia 425, 360.

Miiti hiyo imepandwa pembezoni mwa barabara ya Morogoro,  Pembezoni mwa mto Mpiji, Mto Mbezi na Luganga pamoja na ofisi mbalimbali za serikali zinakotolewa huduma za kijamii.

Amesema miaka 63 ya Uhuru inatukumbusha uzalendo kwa taifa letu na kuendeleza umoja na mshikamano kwa jamii yote ya watanzania.

"Maadhimisho haya yaliyofanywa kwa shughuli mbalimbali za kimaendeleo yawe chachu ya maendeleo endelevu kwa Taifa letu ili kufikia malengo tuliyojiwekea" amesema Mlenduke.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa