• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

WATAALAM WA KILIMO UBUNGO WAPIGWA MSASA KUHUSU MASWALA YA USINDIKAJI , LISHE

Posted on: November 23rd, 2021

Maafisa Kilimo Manispaa ya Ubungo Leo tarehe 23.11.2021  wamepewa Elimu kuhusu maswala ya lishe na usindikaji wa vyakula mbalimbali ili kuwawezesha kuwa na uelewa mzuri wa kutoa elimu kwa wananchi

Akitoa mafunzo hayo Afisa  Kilimo katika maswala ya lishe Bi.Stela Nzelu ameeleza kuwa wataalam wa Kilimo wanawajibu kuelimisha wakulima na wasindikaji kuzingatia lishe kwenye vyakula

Ili kuwa na Jamii au Taifa lenye maendeleo ni muhimu Jamii kula vyakula vinavyozingatia makundi ya  lishe Bora ili kuipa miili Kinga na Tiba  dhidi ya magonjwa mbalimbali.Alieleza Stela

Aliendelea kufafanua rangi za Mazao na faida  Stela alisema  vyakula vyenye rangi ya Njano- vina wingi wa vitamini A, C na  viondoa sumu, Rangi ya kijani- Kama Kinga Tiba kwa inni( njegere, mbogamboga tango bamia,kabegi,)

Vyenye Rangi nyeupe- kama Kinga na Tiba kwa mapafu( vitamini C' K, viondoa sumu ) mahindi  vitungu,stafeli, Rangi nyeusi- Kinga na Tiba ya Figo,( bilinganya zambarau n.k na vyenye rangi nyekundu- Kama Kinga  na Tiba ya moyo kitunguu, pilipili,nyanya, tikiti, bitroot,

Pia alitoa msisitizo wa ulaji wa mboga za majani uanzie utotoni ili kuwajengea Kinga nzuri ya mwili ili kuepukana na magonjwa hatarishi Kama moyo,ini n.k

Aidha Afisa Kilimo,umwagiliaji na Ushirika Manispaa ya Ubungo Happiness Mbelle aliwasisitiza wataalam hao kuendelea kuelimisha umma kuhusu uhifadhi wa vyakula na kuongeza  uzalishaji wa mazao zaidi kwaajili ya kukabiliana na mabadiliko ya Hali ya hewa

Aliendelea kuwakumbusha Kutumia vyakula vyenye lishe Bora kwa Msingi wa kuongeza uzalishaji zaidi

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa