• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

WATENDAJI KATA UBUNGO WATEMBELEA MANISPAA YA MOSHI

Posted on: December 21st, 2023

Watendaji wa Kata wa Manispaa ya Ubungo wakiongozana na Maafisa Tarafa wa Manispaa hiyo akiwemo Afisa Tarafa wa tarafa ya Kibamba Beatrice Mbawala pamoja na Agnes Kyando Afisa Tarafa wa tarafa ya Magomeni pamoja na Mkuu wa Idara ya Mazingira na Maliasili  tarehe 21/12/2023  wameitembelea Manispaa ya Moshi kwa lengo la kujifunza masuala ya usimamizi wa usafi wa mazingira.

Akiongea Mkuu wa Kitengo cha mazingira na usafishaji Manispaa ya Moshi Viane Komba amesema Manispaa hiyo imefanikiwa kwa kiasi kikubwa juu ya usafi wa mazingira kutokana na uwekaji wa mikakati madhubuti iliyowekwa na kusimamiwa na Manispaa hiyo juu ya usimamizi wa usafi wa mazingira

Akiongelea mikakati hiyo Viane amesema Manispaa hiyo imeweka vikundi maalumu kwenye Kata zote 21 za Manispaa hiyo ambavyo vimepewa jukumu la kusimamia sheria ndogo ya usafi wa mazingira ya Manispaa Moshi ya mwaka 2006 iliyofanyiwa marekebisho mwaka mwaka 2017 sambamba na sheria ya mazingira no 20 ya mwaka 2004, sheria ya afya ya jamii no 1 ya mwaka 2009.

Viane ameendelea kueleza kwa mujibu wa sheria ndogo za Manispaa hiyo vikundi hivyo vimepewa nguvu ya kutoza faini ya papo kwa papo isiyozidi kiasi cha shilingi elfu hamsini kwa wachafuzi wa mazingira na asilimia 50 ya faini inayotozwa hubaki kwa kikundi husika kama malipo kwa wanakikundi.

Aidha, Viane amesema Manispaa hiyo mbali na kufanikiwa kwa kiasi kikubwa juu ya usimamizi wa usafi wa mazingira pia imefanikiwa kwenye masuala mbalimbali ikiwemo uzalishaji wa mbolea kwa kutumia taka na hivyo kupunguza taka zinazotupwa dampo na kuongeza mapato ya Manispaa, uwepo wa dampo la kisasa kwa ajili ya kutupa taka na ugatuaji wa shughuli za usafi wa mazingira katika ngazi ya Kata.

Nae Afisa Mtendaji Kata wa Bondeni Manispaa ya Moshi Philipina Philipo Tenga amesema ngazi ya Kata inajukumu la kuratibu  kwa ukaribu shughuli za usafi wa mazingira, kukusanya mapato yatokanayo na ada za  taka pamoja na kusimamia matumizi ya Fedha hizo ngazi ya Kata, kuchangia asilimia 3 au 5 ya mapato ya Ada ya taka kwa ajili ya matengenezo ya magari ya kuzoa taka ngumu pamoja na usimamizi wa sheria ndogo kwenye maeneo ya Kata.















Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa