• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

WATENDAJI NGAZI YA JIMBO WAPEWA MAFUNZO UBUNGO YA UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Posted on: March 10th, 2025

Mafunzo ya zoezi la maboresho ya daftari kudumu la wapiga kura kwa watendaji ngazi ya jimbo yamefunguliwa na Afisa Muandikishaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Ndg. Lawi Mgongo  leo March 10, 2025 katika Ukumbi wa Manispaa ya Ubungo yakiwa na lengo la kuwajengea uwezo wasimamizi wa zoezi hilo kwa ngazi ya Jimbo.

Akiongea na watendaji hao katika kikao hicho Lawi Amesema "kuteuliwa kwenu kunatokana na ujuzi, uwezo na weledi mlionao katika kutekeleza majukumu mbalimbali ya Kitaifa likiwemo zoezi la Uboreshaji wa Daftari ikiwa ni Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025"

Ni matarajio ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kuwa kutokana na Semina hiyo kila mmoja wenu atapata Elimu na ujuzi wa kutosha utakaomuwezesha kutekeleza majukumu yake ili kufanikisha uboreshaji wa Daftari. Aliongeza Lawi

Aidha mafunzo hayo yamehusisha mambo kadhaa ikiwemo namna ya ujazaji wa fomu pamoja  na kutumia mfumo wa kuandikisha wapiga kura.

Mafunzo haya yanawajengea umahiri wa kuwafundisha waendeshaji wa vifaa vya Bayometriki na Waandishi Wasaidizi ambao Ndio watahusika na Uandikishaji wa wapiga kura Vituoni. 

Vilevile wakati wa Uboreshaji wa Daftari mawakala wa vyama vya siasa wataruhisiwa kuwepo katika vituo vya kuandikisha wapiga kura ili kusaidia kuleta uwazi katika zoezi Zima hili pia mawakala hao watasaidia kutambua waombaji wa eneo husika hivyo kupunguza kutokea kwa vurugu zisizokuwa za Lazima.

Washiriki wameshukuru mafunzo hayo ambayo yataongeza tija kwani yanaenda kuweka mwanga katika zoezi hilo. Wameishukuru Tume kwa muongozo mzuri wenye ufanisi. 

Mafunzo kwa watendaji ngazi ya jimbo yamepangwa kufanyika kwa muda wa siku mbili ambazo ni Machi 10 - 11, 2025 kabla ya kuanza kutoa mafunzo kwa watendaji ngazi ya kata kwa siku mbili ambazo ni Machi 14 na 15, 2025

“Kujiandikisha Kuwa Mpiga Kura Ni Msingi Wa Uchaguzi Bora”





Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa