• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

WATENDAJI WA KATA WAJENGEWA UWEZO KUHUSU MFUMO WA NEST

Posted on: May 16th, 2024

Watendaji wa kata Manispaa ya Ubungo mapema  tarehe 16 Mei, 2024 wamepewa mafunzo elekezi kuhusu mfumo wa Manunuzi wa Umma wa  NesT lengo likiwa ni kuwajengea uelewa zaidi juu ya matumizi ya mfumo huo

Mafunzo hayo yametolewa na wawezeshaji kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi wa Umma (Public Procurement Regulatory Authority. (PPRA) pamoja na Mkuu wa kitengo Cha Ugavi Manispaa ya Ubungo.

Akitoa mafunzo hayo Veronica Fute Afisa Ugavi  kutoka PPRA amesema kuwa mfumo huo umekuwa na manufaa makubwa kwa manunuzi ya umma na wadau mbalimbali na pia kwa atakae kiuka na kufanya manunuzi kinyume na mfumo huo hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake

Fute aliendelea kueleza kuwa, Ni wajibu kila mmoja kuutambua mfumo huu unvyofanya kazi na kuwataka  watendaji  kuwapa elimu wazabuni mbalimbali kujiunga na mfumo huu ambao utawawezesha inapotangazwa tenda kuomba na kufanya nao kazi

Nae Mkuu wa kitengo Cha Ugavi  Manispaa ya Ubungo Mvano Karumbete amewasisitiza watendaji kuzingatia mafunzo hayo yenye lengo la kuhakikisha kila mmoja anaepukana na matumizi ya fedha za Serikali nje ya mfumo wa Serikali.

Fedha za Serikali zinatakiwa kutumika kufanya manunuzi kwa kutumia mfumo wa Nest ni agizo na sio hiari ni lazima kila mmoja kuzingatia hilo.amesisitiza Karumbete

Akishukuru kwa niaba ya watendaji wote, mtendaji wa kata ya Mburahati amewashukuru wawezeshaji kutoka PPRA kwa mafunzo hayo na kuomba kuendelea kutoa ushirikiano zaidi na zaidi wanapoitaji mafunzo lengo ni kuendelea kuuelewa mfumo huo mpya wa Serikali unavyofanya kazi

Ikumbukwe kuwa NesT ni mfumo mpya wa Serikali  kwa ajili ya Manunuzi.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa