• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

WATENDAJI WA MITAA MANISPAA YA UBUNGO WAPIGWA MSASA JUU YA MFUMO WA TAUSI.

Posted on: March 21st, 2023



Watendaji wa Mitaa Manispaa ya Ubungo wajengewa uwezo juu ya Mfumo wa ukusanyaji mapato ya ndani - TAUSI ambao ni mbadala wa mfumo uliokuwa ukitumika hapo awali wa Local Government Revenue Collection Information System “LGRCIS”


Mafunzo hayo wameyapata leo tarehe 21/03/2023 ambapo jumla ya watendaji 90 wa mitaa walipata mafunzo hayo kwa lengo la kuwaongezea weledi wa ukusanyaji wa ada na fine mbalimbali kwenye mitaa yao.


Akiongea wakati akitoa mafunzo hayo Afisa TEHAMA wa Manispaa hiyo Ndg. Aziza Lotta amesema Mfumo wa TAUSI utamuwezesha mkusanyaji wa mapato kufanya maboresho ya mfumo bila kufika halmashauri tofauti na ilivyokuwa kwa mfumo wa LGRCIS ambapo ilimlazimu mkusanyaji kufika Manispaa kwa ajili ya maboresho ya Mfumo.

Lottta ameendelea kueleza kuwa Mfumo wa TAUSI ni mfumo salama ambao utazuia matumizi ya fedha mbichi kwani Mkusanyaji hataweza kuendelea kukusanya ada yeyote hadi fedha alizokwisha zikusanya ziwe zimewekwa benki


Aidha, Lotta ameeleza kuwa Mfumo wa TAUSI utamsaidia mfanyabiashara kuweza kufanya maombi ya leseni za biashara, vileo, hotel levy, service levy na vibali vya ujenzi kwa njia ya mtandao na  kupata kumbukumbu namba ya malipo kutoka eGa itakayomuwezesha kulipa moja kwa moja kwa kutumia mtandao.


Sambamba na hilo Watendaji hao wamefundishwa namna ya kutumia POS na uwasilishwaji wa makusanyo ya benki kwa kutumia mfumo wa TAUSI ili kuwawezesha kwenye ukusanyaji wa ada za taka, ulinzi shirikishi na fine mbalimbali na hivyo kuwawezesha Watendaji hao kutumia mfumo huo kwa ufasaha.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa