• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

WATOTO 331 WANAOISHI NA KUFANYA KAZI MTAANI MANISPAA YA UBUNGO WASAIDIWA NA KUONDOLEWA MTAANI

Posted on: September 5th, 2024

Manispaa ya Ubungo kupitia Idara ya Ustawi wa jamii kwa kushirikiana na shirika la SOS Children Village Dar es salaam na wadau wengine wamefanikiwa kuwarejesha jumla ya watoto 331 wanaoishi na kufanya kazi mitaani kuungana na familia zao ili kupunguza wimbi la ongezeko la watoto hao Manispaa ya Ubungo na kuhakikisha kuwa wanapata malezi stahiki.

Hayo yameelezwa na Afisa mfawidhi sehemu ya ustawi wa jamii Manispaa ya Ubungo Bi. Zainabu Masilamba wakati akisoma taarifa ya watoto wanaoishi na kufanya kazi mtaani Manispaa ya Ubungo kwa kipindi cha Januari 2024 hadi Septemba 2024 katika kikao kazi na maafisa wa Shirika la SOS Children Village Dar es salaam kutoka Norway walipofika ofisini jana 5/9/2024 kuzungumza na kujionea namna Manispaa na wadau wengine wanavvyotekeleza afua mbalimbali za kuwasaidia watoto wanaoishi katika mazingira Magumu.

Amesema katika kipindi cha Julai 2023 hadi Mei 2024, Manispaa ya Ubungo ilifanikiwa kuwatambua na kuwaondoa jumla ya watoto 163 waliokuwa wakiishi mtaani ambapo wasichana walikuwa 116 na wavulana 47.


Katika kipindi cha Juni 2024 hadi Septemba 2024 wamefanikiwa kuwaunganisha nafamilia zao watoto 48, wakike wakiwa 29 na wakiume wakiwa 19, walipo kwenye Makao ni 111, Wavulana 79 na Wasichana 32 huku idadi ya waliorudishwa shule na kunganishwa namafunzo ya Ufundi stadi wakifikia 9, Wavulana 2 na Wasichna 7 katika kipindi kama hicho.

Aidha amesema serikali kwa kushirikiana na wadau wengine huwatambua na kuwachukua watoto hao na kupelekwa nyumba za makao maalum ili waweze kupatiwa ushauri nasaha, kuwaandaa kisaikolojia, kupatiwa huduma za afya na kuandaliwa kwa ajili ya kusafirishwa kurejea kwa wazazi ili kuungana na familia.

Amebainisha kuwa, Watoto hawa hufanya kazi na kuishi katika maeneo ya daraja la Kijazi, Kituo cha Mabasi cha Magufuli, Stendi ya Mabasi Mbezi, Mlimani City (Super Star), Daraja la Manzese na Soko la Mabibo.

Baadhi ya washiriki wa kikao hicho walibainisha kuwa baadhi ya watoto wanakimbia familia kujiunga na maisha ya kuwa watoto wa mitaani kwa sababu ya migogoro iliyopo kwenye familia zao

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa