• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

WATU LAKI MBILI WANATUMIA MWENDOKASI KWA SIKU, DART

Posted on: October 4th, 2022


- Leo oktoba 04, 2022 Wakala wa Usafiri Dar es Salaam (DART) imefanya kikao kilicholenga kutoa elimu kwa watumiaji wa vyombo vya moto na matumizi sahihi ya miundombinu ya usafiri ili kuhakikisha miundombinu hiyo inatunzwa na kutumiwa kwa matumizi lengwa yaliyoainishwa na DART. Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa chuo cha sheria (Law School) ambapo kimehudhuriwa na wakuu wa Wilaya ya Ubungo, Kinondoni, Kigamboni na Kibaha.

- Mtendaji mkuu wa DART Dr. Edwin Mhede ameeleza kuwa usafiri wa mwendokasi katika jiji la Dar Es Salaam unazidi kushika kasi kila siku kutokana na ongezeko la watumiaji kila siku ambapo kwasasa takwimu zinaonesha kuwa UDART wanasafirisha watu  180,000 – 200,000 kupitia mabasi 210 yaliyopo kwa sasa kwaajili ya kutoa huduma ya usafiri wa Umma kwa maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam

Aidha Dr. Mhede ameeleza kuwa muda wowote kutoka sasa DART watasaini mkataba na mtoa huduma mwingine wa pili atakaeongeza mabasi mengine 177 ili kuongeza ufanisi wa huduma na kukabiliana na changamoto zilizopo ikiwemo changamoto vya msongamano pamoja kusubiri muda mrefu vituoni.

Kwa upande wa mgeni rasmi katika kikao hicho mkuu wa wilaya ya Ubungo Mhe. Kheri James ameipongeza DART kwa kufanya kazi nzuri ya kusimamia usafiri wa mwendokasi na amewataka kuendelea kujitahidi kumaliza changamoto zilizopo ili kuleta ufanisi wa huduma

“pamoja na kazi kubwa mnayofanya lakini uhitaji kwa wananchi bado ni mkubwa hivyo mnatakiwa kupanua wigo wa utoaji huduma hiyo” alisema
Aidha kheri amewaomba vingozi, wananchi na wadau mbalimbali kulinda miundombinu ya mwendokasi ili tija yake ihudumu kwa muda mrefu

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa