• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

WATUMISHI UBUNGO WAFIKIWA NA ZOEZI LA UPIMAJI AFYA BURE NA KUPEWA ELIMU

Posted on: October 29th, 2024

Idara ya afya,Ustawi wa jamii na Lishe Manispaa ya Ubungo imetoa elimu na upimaji wa magonjwa mbalimbali kwa watumishi waliopo makao makuu na kuwajengea uwezo wa namna ya kujikinga na magonjwa ya  kuambukiza(mlipuko) na yasiyo ambukiza  pamoja na kutoa elimu ya masula ya lishe na ustawi wa jamii

Akizungumza katika kikao hicho Mganga Mkuu Manispaa ya Ubungo Dkt.Tulitweni Mwinuka amewasisitiza watumishi wote kuwa na tabia ya kupima afya mara kwa mara na kuwaeleza umuhimu mtu anapoona ana dalili zozote za awali kwenda hospitali kwa haraka

Mwinuka amesema hayo  tarehe 29 oktoba,2024 wakati wa kikao kilicholenga kutoa elimu ya masuala mbalimbali ya afya.

Akitoa elimu kuhusu magonjwa ya mlipuko Dkt Ilona Elisante amesema kuwa kwa sasa magonjwa ambayo yapo ambayo ni ugonjwa wa Marbug na Mpox ambayo mpaka sasa haujaingia nchini ila nchi jirani tayari visa mbalimbali vimeshaonekana, amesema kuwa magonjwa hayo huenezwa kwa njia ya majimaji ambayo mgonjwa  akigusana na mtu mwingine, kugusana na mgonjwa au mtu mwenye dalili hupelekea ugonjwa huo kuenea

Amesisitiza kuwa ni muhimu kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni, kutoshika maji, damu kutoka kwa mgonjwa na unapoona dalili za magonjwa hayo na unapokuwa na mgonjwa utoe taarifa katika kituo cha afya

Na pia ametoa elimu kuhusu ugonjwa wa kipindupindu na kuwataka kuwa makini katika ulaji wa vyakula ambavyo vinanunuliwa mitaani kwa kuhakikisha maji yanayotumika yamechemshwa na viko katika mazingira safi na salama

Elimu ya masuala ya lishe imetolewa na afisa lishe Manispaa ya Ubungo Beatrice Mossile amewataka watumishi kuzingatia makundi sita  ya vyakula ambavyo vinasaidia kuujenga mwili,kuupa mwili nguvu na pia ameongelea kuhusu siku 1000 ambazo mtoto anatakiwa kuzingatiwa ili awe na afya bora na kuwataka  kuzingatia malezi ya watoto ili taifa liwe na kizazi kilicho bora

Nae afisa ustawi manispaa ya ubungo zainabu Masilamba amezengumzia masuala ya Ukatili wa kijinsia nakuwataka kuzingatia malezi bora kwa watoto kwa kuepuka unyanyasaji na ukatili kwa watoto, wake na kuzingatia malezi bora kwa familia

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa